Lissu: Baada ya Nyerere aliyefuatia kwa ushawishi alikuwa Lowassa

Unafiki wao mkubwa sana ..ajabu wafuasi wao kila wanapobadilika wapo nao...nyumbu Wana tabu sana
Ccm imechangia kumletea kifo Mzee Lowassa, kina uzi humu wenye kutaja ushenzi huu wa Lumumba street, nani owner wa UDA?,Nyati cross border transporter?,mijitu iliyojaa roho mbaya za kikatili zaidi ya kwa mashu
 
Hivi hii kauli ya kusema kuwa Nyerere alikuwa na ushawishi hata kama ya kweli inaweza kutoka kwa Lissu?
Natafuta chama ambacho hakina unafiki nijiunge
 
Huyu huyu na wahuni wenzenu wa Chadema mlimsema fisadi na mkamwandika kwenye LIST OF SHAME. Leo mmeshahau.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Tundu Lissu yupo sahihi kabisa, LOWASSA alikuwa kiongozi kwelikweli
 
Lisu hapa anaongea kwa kutumia mawazo yake lakini na Mimi niseme nyerere alikuwa na ushawishi kitaifa ila Lowasa ushawishi wake ulikuwa ndani ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…