Unafiki uko wapi hapo.au akili zenu ndogo mnashindwa kutofautisha mambo.Lissu yuko sahihi,mfano mdogo ni shule za kata,isingekua ushawishi wa lowasa shule za kata zisingejengwa kwa kiwango hicho nchi nzima.labda kama umezaliwa juzi ndo utakua hujui jinsi alivyokua mstari wa mbele kuhamasisha jambo hilo.sasa hilo halihusiani na makando kando yake mengine.Tumia akili zako vizuri.Unafiki wao mkubwa sana ..ajabu wafuasi wao kila wanapobadilika wapo nao...nyumbu Wana tabu sana
Labda mm sijui maana ya usha..Lissu ni nambari 1 au 2 kwa ushawishi ktk mwaka 2024.
..Zingatia kwamba Lissu hana msaada wa dola kama wengine unaoweza kuwashindanisha naye.
Sasa utakuwa na ushawishi VIP wakati ukiwa mwizi na fisadi.Nyerere hakuna sehemu waliyosema kuwa ni mwiz na fisadi. Kwa hiyo ana ushawishi. Sasa huyu mropokaji wenu, anasema leo Lowassa ni fisadi kesho Lowassa ana ushawishi. Huo ni upuuuz na ujinga wa mropokaji Lissu. Stay consistently with what you believe in.Hivi kua na ushawishi ndio kua msafi.Ufisadi na ushawishi mbona ni mambo mawili tofauti.Muwe mnatumia akili zenu sawasawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lowassa alikuwa Rais Nchi hii mpaka ajenge shule za kata? Kikwete ndio aliejenga shule za kata maana ndio muidhinishaji asinge idhinisha hakuna shule ya kata ambayo ingejengwaUnafiki uko wapi hapo.au akili zenu ndogo mnashindwa kutofautisha mambo.Lissu yuko sahihi,mfano mdogo ni shule za kata,isingekua ushawishi wa lowasa shule za kata zisingejengwa kwa kiwango hicho nchi nzima.labda kama umezaliwa juzi ndo utakua hujui jinsi alivyokua mstari wa mbele kuhamasisha jambo hilo.sasa hilo halihusiani na makando kando yake mengine.Tumia akili zako vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda msibani ukapige.Bila picha?
Labda mm sijui maana ya usha
Sasa utakuwa na ushawishi VIP wakati ukiwa mwizi na fisadi.Nyerere hakuna sehemu waliyosema kuwa ni mwiz na fisadi. Kwa hiyo ana ushawishi. Sasa huyu mropokaji wenu, anasema leo Lowassa ni fisadi kesho Lowassa ana ushawishi. Huo ni upuuuz na ujinga wa mropokaji Lissu. Stay consistently with what you believe in.
Daaah !Lowassa alikuwa Rais Nchi hii mpaka ajenge shule za kata? Kikwete ndio aliejenga shule za kata maana ndio muidhinishaji asinge idhinisha hakuna shule ya kata ambayo ingejengwa
Nikusute? 😂😂Nje ya mada kidogo .. kwenye kile kitabu wanasaini na kuandika kitu gani?
Kwenye mahusiano wengi wameandika "Rais wa mioyo yetu"Wanaandika namna ulivyomfahamu marehemu na mahusiano yenu
Punguza chuki kwa Chadema,sijui walikula kipi chakoUnafiki wao mkubwa sana ..ajabu wafuasi wao kila wanapobadilika wapo nao...nyumbu Wana tabu sana
Bado unaendelea kuimba anaupiga mwingi!?Unafiki wao mkubwa sana ..ajabu wafuasi wao kila wanapobadilika wapo nao...nyumbu Wana tabu sana
Na wale wanaotetea DP World vipi?Huyu Lissu kitendo chake cha kutetea Acacia sina imani naye tena.
Cha ajabu aliyemsabishia uchiba kashalamba mchangaHuyu chiba ni kigeugeu. Si aliwahi kusema Nyerere alikuwa mdanganyfu aliyezoea vya kuchinja?
Nampa sofa zote Mgeja,huyu ndio loyal friend wa ukweli,unamtetea na kumlinda rafiki yako kwenye hali ngumu zote upo nae,hakumuogopa Jiwe wala nani...huyo Mzee mwenye kofia ni Bwana Mgeja rafiki mkubwa wa Lowassa ambaye alijitoa Ccm akiamini kwamba haki haikutendeka ktk uteuzi wa mgombea Urais kupitia Ccm 2015.
Na maccm yote mtampingaChadema wote watamuamini
Nyerere ndiye aliyeasisi dhuluma kwa wapinzani kuibiwa kura na kupindua matokeo kwa kuanzia kule Zanzibar 1995Chibagere bana
Linapanua mdomo kama mende wa chooni
Nyerere huyu huyu anaembagaza Kila kukukicha
Mamaee mbich
Lioneni tahira lingine hili,kwa hiyo Kikwete alitoa hizo hela nyumbani kwake Msoga?Lowassa alikuwa Rais Nchi hii mpaka ajenge shule za kata? Kikwete ndio aliejenga shule za kata maana ndio muidhinishaji asinge idhinisha hakuna shule ya kata ambayo ingejengwa
Wewe nae jaribu kuficha makalio Mbele za wajukuu wako,Huyu Lissu kitendo chake cha kutetea Acacia sina imani naye tena.
Huyo nae naona kaswende inayotafuna ubongo imemuathili hadi anashindwa fikiria nje ya Box!Kwani mtu akiwa mdanganyifu au mchinjaji inamzuia vipi kuwa na ushawishi?
Una uhakika?Cha ajabu aliyemsabishia uchiba kashalamba mchanga
Akaona wivu mpaka Watu kumtembeleafUna uhakika?