Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

Kiongozi uchaguzi mkuu si bado sana? Kingine kiongozi kuna nafasi ya mkuu wa wilaya ipo wazi vipi haiwezi kuwa fursa kwa washika jembe na nyundo?
Mwisho wa uchaguzi mmoja ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine
 
Acha propaganda… Kama unataka mazungumzo mwambie mwenyekiti wako ampigie simu mwenyekiti Mwenzake wazungumze
 
Huwezi kukaa meza moja na wauaji,watekaji,mafisadi,waiba kura ili muongee nini,ccm bila tiss na policeccm ni weupe na laini kama uyoga.....mtapigwa spana kampeni hizi mpka ule urojo na konyagi.
 
Ila dada huwa unawashwa, sijui ulizaliwa ukapakwa pilipili kichaa?
 
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Hujawahi kuwa na akili,mtu mwenye akili huwa anafanya tathmini ya kazi anayofanya kama haileti matokeo anaachana nayo. Wewe ulikaza fuvu kwa mwezi mzima humu kuandika magazeti ya kumtukana na kumkashifu Lissu ili asichaguliwe na ukajiapiza kwa miungu yako yote kuwa hawezi kuchaguliwa lakini umeangukia pua hadi umeugua tumbo la kuhara baada ya Lissu kushinda. Hapo huoni nguvu zote ulizopoteza na mb zako kwa mwezi mzima zimepotea bure. Bado unaendelea na upuuzi hup huo hiyo ni kudhihieisha kuwa huna akili. Wewe ni taahira kabisa.
 
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Hujawahi kuwa na akili,mtu mwenye akili huwa anafanya tathmini ya kazi anayofanya kama haileti matokeo anaachana nayo. Wewe ulikaza fuvu kwa mwezi mzima humu kuandika magazeti ya kumtukana na kumkashifu Lissu ili asichaguliwe na ukajiapiza kwa miungu yako yote kuwa hawezi kuchaguliwa lakini umeangukia pua hadi umeugua tumbo la kuhara baada ya Lissu kushinda. Hapo huoni nguvu zote ulizopoteza na mb zako kwa mwezi mzima zimepotea bure. Bado unaendelea na upuuzi hup huo hiyo ni kudhihieisha kuwa huna akili. Wewe ni taahira kabisa
 
Mara useme unamchukia sana
Mara useme umechukizwa mno na ushindi wake
Sasa unakuja na vitisho na ushauri wa kipuuzi kabisa. Lucas una nini lakini?
 
Lengo niandike "kutoka kububujikwa na machozi hadi kujambajamba", mods wanipige ban sio?
 
Mimi ni mkulima na hiyo ndio shughuli yangu. Na wala sihitaji kazi ya kuandika vitabu. Labda kama unataka nikuandikie kitabu cha kuelezea historia ya Maisha yako matatizo uliyokumbana nayo mpaka kuchanganyikiwa akili.
Mimi sina shida ndiyo maana sijipendekezi kwa watu wenye hela wala vyeo,wewe sasa uko tayari hata kulawitiwa ili mradi tu upate uteuzi. Bwege sana wewe unatumika kiboya sana.
 
Kimepewa ridhaa na jeshi la polisi, watanzania hawana mpango wowote na CCM ndio maana hamtqki kusikia kitu inaitwa uchaguzi huru maana mnalijua hilo
 
Kwani CCM ndio Mungu?
CCM Ndiyo Wana akili kuliko watanzania wote na tunatakiwa tufikiri wanavyotaka wao, umesahau tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
 
Mimi sina shida ndiyo maana sijipendekezi kwa watu wenye hela wala vyeo,wewe sasa uko tayari hata kulawitiwa ili mradi tu upate uteuzi. Bwege sana wewe unatumika kiboya sana.
Aliyekuroga na kukupatia laana alishafariki
 
Mara useme unamchukia sana
Mara useme umechukizwa mno na ushindi wake
Sasa unakuja na vitisho na ushauri wa kipuuzi kabisa. Lucas una nini lakini?
Hili jamaa ni bwabwa kweli hata halijitambui.
 
Kimepewa ridhaa na jeshi la polisi, watanzania hawana mpango wowote na CCM ndio maana hamtqki kusikia kitu inaitwa uchaguzi huru maana mnalijua hilo
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…