Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
CCM ni moja na wana CCM ni wamoja.Acha kutisha watu ndani ya CCM kuna mpasuko ndo maana mkafaya yale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni moja na wana CCM ni wamoja.Acha kutisha watu ndani ya CCM kuna mpasuko ndo maana mkafaya yale
Mwisho wa uchaguzi mmoja ndio mwanzo wa uchaguzi mwingineKiongozi uchaguzi mkuu si bado sana? Kingine kiongozi kuna nafasi ya mkuu wa wilaya ipo wazi vipi haiwezi kuwa fursa kwa washika jembe na nyundo?
Acha propaganda… Kama unataka mazungumzo mwambie mwenyekiti wako ampigie simu mwenyekiti Mwenzake wazungumzeNdugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo.
Nipende tu kuwaambieni ukweli mchungu kuwa iwe leo au kesho au kesho kutwa Lissu hana ubavu wala uwezo wala nguvu wala maamuzi ya kufanya jambo lolote lile kubwa liwe la kimfumo au kisheria au kisera pasipo kwanza kukaa kwenye meza ya mazungumzo na CCM na serikali yake.
Ili jambo lolote lifanyike ni sharti CCM iridhie na kukubali. Kwa sababu CCM ndio chama kilichojitawala ndani ya Bunge na kwingine kote kwenye ngazi za uwakilishi.
Kwa hiyo unaposema unataka mabadiliko ya aina yoyote ile iwe ni kisheria au kisera .maana yake unapaswa kujenga hoja na kuridhiana na CCM na serikali yake ambayo ndio yenye wabunge wengi ndani ya Bunge letu.
Mbali na hapo ni kuwa lissu ataishia kupiga makelele yake mpaka achoke na Mwisho wa siku hakuna kitakachobadilika hata kwa herufi moja au tarakimu moja.
Akija kibabe basi CCM tutamkabili na kupambana naye katika namna hiyo hiyo atakayo kuja nayo. Akija kiungwana tutampokea kwa namna hiyo hiyo na kukaa naye mezani kumsikiliza. Akija kwa Shari na chuki basi awe tayari kupata majibu ya aina hiyohiyo.
Hii ni kwa kuwa CCM ndio chama kilichopewa ridhaa na watanzania ya kuwaongoza.Muongozo wa CCM ilikuwa ni ilani yetu ambayo ndio tuliyoinadi kwa wananchi. kwa hiyo kilichopo kwenye ilani yetu ndicho tunachokitekeleza. Kama wewe mwingine una jambo lako basi subiri uchaguzi na nenda kwa wananchi uombe kura zikitosha ndio utekelezage hicho unachokitaka wewe.
Lakini kwa sasa kwa kuwa sisi ndio wenye serikali hivyo huna budi kuja mezani na hoja zenye mashiko ili nasi tukupe hoja zetu juu ya kipi kinawezekana kwa wakati huu na kipi hakiwezekani kwa sasa na kingoje muda fulani au wakati. Mkataba wetu na wananchi ni Ilani ambayo ilichaguliwa na wananchi. tuulizwe na kushinikizwa kutekeleza kilicho kwenye ilani yetu .
Ila kile ambacho hakipo kwenye ilani yetu ni sharti kije kwa njia ya kufanya Mazungumzo na maridhiano. na katika mazungumzo na maridhiano ni lazima uelewe hutapata yoote unayoyahitaji. Bali yapo mengine utapata na mengine utapata kiasi na mengine itabidi usubiri wakati wake ufike.
Kwa hiyo lissu akijifanya kuongozwa na Mihemuko pasipo kutumia akili, busara ,hekima , utulivu, subira na uvumilivu. Basi atakosa yoote na hatakuwa na cha kutufanya wala kufanya wala kubadilisha kitu chochote kile ndani ya katiba au sheria zetu. Kwa hiyo ni lazima aje kwa nidhamu ,hekima na utayari wa kukaa mezani.
Lakini asije na majibu yake mfukoni au Misimamo. Majibu yatapatikana katika meza ya mazungumzo na kuwa na msimamo wa pamoja wa namna ya kusonga mbele kwa pamoja kama Taifa .
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huwezi kukaa meza moja na wauaji,watekaji,mafisadi,waiba kura ili muongee nini,ccm bila tiss na policeccm ni weupe na laini kama uyoga.....mtapigwa spana kampeni hizi mpka ule urojo na konyagi.Ndugu zangu Watanzania,

Ndio waliweza JPM ndio alikuja na ubabe wake wa kipuuzi ila sio sasa,,Lissu hazuilikiKabla ya hapo aliweza kufanya?
Ila dada huwa unawashwa, sijui ulizaliwa ukapakwa pilipili kichaa?Ndugu zangu Watanzania,

Hujawahi kuwa na akili,mtu mwenye akili huwa anafanya tathmini ya kazi anayofanya kama haileti matokeo anaachana nayo. Wewe ulikaza fuvu kwa mwezi mzima humu kuandika magazeti ya kumtukana na kumkashifu Lissu ili asichaguliwe na ukajiapiza kwa miungu yako yote kuwa hawezi kuchaguliwa lakini umeangukia pua hadi umeugua tumbo la kuhara baada ya Lissu kushinda. Hapo huoni nguvu zote ulizopoteza na mb zako kwa mwezi mzima zimepotea bure. Bado unaendelea na upuuzi hup huo hiyo ni kudhihieisha kuwa huna akili. Wewe ni taahira kabisa.Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Hujawahi kuwa na akili,mtu mwenye akili huwa anafanya tathmini ya kazi anayofanya kama haileti matokeo anaachana nayo. Wewe ulikaza fuvu kwa mwezi mzima humu kuandika magazeti ya kumtukana na kumkashifu Lissu ili asichaguliwe na ukajiapiza kwa miungu yako yote kuwa hawezi kuchaguliwa lakini umeangukia pua hadi umeugua tumbo la kuhara baada ya Lissu kushinda. Hapo huoni nguvu zote ulizopoteza na mb zako kwa mwezi mzima zimepotea bure. Bado unaendelea na upuuzi hup huo hiyo ni kudhihieisha kuwa huna akili. Wewe ni taahira kabisaUngeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Mara useme unamchukia sanaNdugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo.
Nipende tu kuwaambieni ukweli mchungu kuwa iwe leo au kesho au kesho kutwa Lissu hana ubavu wala uwezo wala nguvu wala maamuzi ya kufanya jambo lolote lile kubwa liwe la kimfumo au kisheria au kisera pasipo kwanza kukaa kwenye meza ya mazungumzo na CCM na serikali yake.
Ili jambo lolote lifanyike ni sharti CCM iridhie na kukubali. Kwa sababu CCM ndio chama kilichojitawala ndani ya Bunge na kwingine kote kwenye ngazi za uwakilishi.
Kwa hiyo unaposema unataka mabadiliko ya aina yoyote ile iwe ni kisheria au kisera .maana yake unapaswa kujenga hoja na kuridhiana na CCM na serikali yake ambayo ndio yenye wabunge wengi ndani ya Bunge letu.
Mbali na hapo ni kuwa lissu ataishia kupiga makelele yake mpaka achoke na Mwisho wa siku hakuna kitakachobadilika hata kwa herufi moja au tarakimu moja.
Akija kibabe basi CCM tutamkabili na kupambana naye katika namna hiyo hiyo atakayo kuja nayo. Akija kiungwana tutampokea kwa namna hiyo hiyo na kukaa naye mezani kumsikiliza. Akija kwa Shari na chuki basi awe tayari kupata majibu ya aina hiyohiyo.
Hii ni kwa kuwa CCM ndio chama kilichopewa ridhaa na watanzania ya kuwaongoza.Muongozo wa CCM ilikuwa ni ilani yetu ambayo ndio tuliyoinadi kwa wananchi. kwa hiyo kilichopo kwenye ilani yetu ndicho tunachokitekeleza. Kama wewe mwingine una jambo lako basi subiri uchaguzi na nenda kwa wananchi uombe kura zikitosha ndio utekelezage hicho unachokitaka wewe.
Lakini kwa sasa kwa kuwa sisi ndio wenye serikali hivyo huna budi kuja mezani na hoja zenye mashiko ili nasi tukupe hoja zetu juu ya kipi kinawezekana kwa wakati huu na kipi hakiwezekani kwa sasa na kingoje muda fulani au wakati. Mkataba wetu na wananchi ni Ilani ambayo ilichaguliwa na wananchi. tuulizwe na kushinikizwa kutekeleza kilicho kwenye ilani yetu .
Ila kile ambacho hakipo kwenye ilani yetu ni sharti kije kwa njia ya kufanya Mazungumzo na maridhiano. na katika mazungumzo na maridhiano ni lazima uelewe hutapata yoote unayoyahitaji. Bali yapo mengine utapata na mengine utapata kiasi na mengine itabidi usubiri wakati wake ufike.
Kwa hiyo lissu akijifanya kuongozwa na Mihemuko pasipo kutumia akili, busara ,hekima , utulivu, subira na uvumilivu. Basi atakosa yoote na hatakuwa na cha kutufanya wala kufanya wala kubadilisha kitu chochote kile ndani ya katiba au sheria zetu. Kwa hiyo ni lazima aje kwa nidhamu ,hekima na utayari wa kukaa mezani.
Lakini asije na majibu yake mfukoni au Misimamo. Majibu yatapatikana katika meza ya mazungumzo na kuwa na msimamo wa pamoja wa namna ya kusonga mbele kwa pamoja kama Taifa .
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi sina shida ndiyo maana sijipendekezi kwa watu wenye hela wala vyeo,wewe sasa uko tayari hata kulawitiwa ili mradi tu upate uteuzi. Bwege sana wewe unatumika kiboya sana.Mimi ni mkulima na hiyo ndio shughuli yangu. Na wala sihitaji kazi ya kuandika vitabu. Labda kama unataka nikuandikie kitabu cha kuelezea historia ya Maisha yako matatizo uliyokumbana nayo mpaka kuchanganyikiwa akili.
Kwani Mungu ndio anasema uwe kibaraka mjinga na usiye na hekima?Kwani CCM ndio Mungu?
Wazungumzie nini? Mama yupo kazini anaendelea kutekeleza ilani ya uchaguzi ambayo ndio mkataba na wananchiAcha propaganda… Kama unataka mazungumzo mwambie mwenyekiti wako ampigie simu mwenyekiti Mwenzake wazungumze
Kimepewa ridhaa na jeshi la polisi, watanzania hawana mpango wowote na CCM ndio maana hamtqki kusikia kitu inaitwa uchaguzi huru maana mnalijua hiloCCM ndio chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza Taifa letu. Hiki ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM. Huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili. Uhai ,utulivu usalama,amani na ustawi wa Taifa hili unategemea kwa kiasi kikubwa uwepo wa CCM Madarakani.
CCM Ndiyo Wana akili kuliko watanzania wote na tunatakiwa tufikiri wanavyotaka wao, umesahau tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasiKwani CCM ndio Mungu?
Aliyekuroga na kukupatia laana alishafarikiMimi sina shida ndiyo maana sijipendekezi kwa watu wenye hela wala vyeo,wewe sasa uko tayari hata kulawitiwa ili mradi tu upate uteuzi. Bwege sana wewe unatumika kiboya sana.
Hili jamaa ni bwabwa kweli hata halijitambui.Mara useme unamchukia sana
Mara useme umechukizwa mno na ushindi wake
Sasa unakuja na vitisho na ushauri wa kipuuzi kabisa. Lucas una nini lakini?
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaKimepewa ridhaa na jeshi la polisi, watanzania hawana mpango wowote na CCM ndio maana hamtqki kusikia kitu inaitwa uchaguzi huru maana mnalijua hilo
Wewe una akili?Hili jamaa ni bwabwa kweli hata halijitambui.
Mimi sirogeki wewe ndezi unawaza ushirikina tu pumbavu kabisa wewe.Aliyekuroga na kukupatia laana alishafariki