Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Huo ndio ukweli wenyeweCCM Ndiyo Wana akili kuliko watanzania wote na tunatakiwa tufikiri wanavyotaka wao, umesahau tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
Mbona sasa huna akili kiasi hicho?Mimi sirogeki wewe ndezi unawaza ushirikina tu pumbavu kabisa wewe.
SijakuelewaKwani Mungu ndio anasema uwe kibaraka mjinga na usiye na hekima?
Ninazo za kutosha ndiyo maana mimi siyo chawa kama wewe.Wewe una akili?
Mnajitoaga ufahamu si ndio?Kwani Mbowe kafanikiwa nini baada ya kukaa kwenye meza ya mazungumzo?
Bora hata usieleweSijakuelewa
Kwani lini nimebadilisha kauli kuwa simchukii?Mara useme unamchukia sana
Mara useme umechukizwa mno na ushindi wake
Sasa unakuja na vitisho na ushauri wa kipuuzi kabisa. Lucas una nini lakini?
Ninazo sana ndiyo maana nimetambua kuwa wewe ni chawa.Mbona sasa huna akili kiasi hicho?
Bhangi tuBora hata usielewe
Acheni kujidanganya zile ni haki za raia, pelekeni utoto uko kujifanya mpaka muombwe , Lissu karudi kwasababu mnataka pesa za wazunguMnajitoaga ufahamu si ndio?
1.Bila Mbowe huyo kibaraka wenu angeendelea kupakatwa na Amsterdam huko
2.Bila Mbowe Rais asingeondoa amri ya marufuku ya mikutano ya Kisiasa na mnakumbuka vizuri Kuna siku aligusia kwamba zile sheria hazijafutwa zipo,vukeni mstari.
Mimi ni kaka yako na siyo dada yako.Ila dada huwa unawashwa, sijui ulizaliwa ukapakwa pilipili kichaa?
Kwani nani kasema nina andika kwa niaba ya wazazi.Bro kaa kimya,unawaaibisha wazazi wako
Haki za raia ndio zilimpeleka Ubelgiji Kwa Amsterdam au siyo? Mwambieni avuke mstari uone kama atazipata.Acheni kujidanganya zile ni haki za raia, pelekeni utoto uko kujifanya mpaka muombwe , Lissu karudi kwasababu mnataka pesa za wazungu
Hata kichaa huwaona wazima kuwa ni vichaaNinazo sana ndiyo maana nimetambua kuwa wewe ni chawa.
Alikwenda kutibiwa si mlitaka kumuuaHaki za raia ndio zilimpeleka Ubelgiji Kwa Amsterdam au siyo? Mwambieni avuke mstari uone kama atazipata.
Lazima anywee kama Mwabukusi atake asitake
Ukihema CCM, ukila ni CCM, ukiugua ni CCM,.............................Huo ndio ukweli wenyewe
Mwabukusi saizi ametulia kwenye gari aliyopewa na serikaliHaki za raia ndio zilimpeleka Ubelgiji Kwa Amsterdam au siyo? Mwambieni avuke mstari uone kama atazipata.
Lazima anywee kama Mwabukusi atake asitake
Basi usitumie Jina ha huo ukoo wako maana Ukoo wa Mwashambwa unaaibika Jamii forums.Kwani nani kasema nina andika kwa niaba ya wazazi.
Wewe ni taahira ubongo wako ulichelewa kupata oxygen wakati unazaliwa.Hata kichaa huwaona wazima kuwa ni vichaa