Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

Sina maneno yangu. Ujumbe wangu kwako, jiandae kulala na viatu. Lissu hanaga shughuli ndogo kama unabisha nenda kabulini chato kamuulize mzee meko.
Nipo humu kabla ya Mwendazake sijawahi na sitokuja kuwahi.Sitegemei siasa kula Wala sifaidiki na chochote,mijadala ya jf ni burudani tuu lakini Nina mlengi wangu.

Angekuwa Rais ningewaza Sasa mpiga kelele hana madhara
 
Nipo humu kabla ya Mwendazake sijawahi na sitokuja kuwahi.Sitegemei siasa kula Wala sifaidiki na chochote,mijadala ya jf ni burudani tuu lakini Nina mlengi wangu.

Angekuwa Rais ningewaza Sasa mpiga kelele hana madhara
Kina Lissu wanazaliwaga mara moja baada ya miaka 300.

Nadhani utakuwa umeanza kufuatilia siasa za Tanzania juzi juzi. Karibu sana umuone Lissu kama Lissu.

Usiombe poo tu.
 
Haya baada ya kuropoka ikawaje?
Ameshinda uenyekiti baada ya wajumbe kuridhiki kuwa Lissu hakuna anae muogopa labda Mungu peke yake , kwa wakati huu ni mtu sahihi kura zikawa nyingi yule mtu wenu wa maridhiano chali
 
Huwezi ukaelewa hoja zangu kama akili yako ni ndogo.
Kaka vitu vinaonekana leo umseme lisu kesho Mbowe ,

Watu hao hao uliwasifia hapo awali,yaani unacheza na upepo kaka kinyonga.
Hizi sio tabia za kiume,Unaaibisha ukoo mzee.
 
Kutoka kumwanga risasi mumuuwe mpaka kutaka meza ya mazungumzo. Dah kweli MUNGU umuinua mnyonge kutoka mavumbini na kumkalisha pamoja na wakuu. Uzuri mtakaa meza ya mazungumzo na kina Lisu na kina Heche hata rushwa amtaizungumza Kama kwa wengine
 
Hivi kwanini wanaoandika ujinga hutumia maelezo mengi sana kuliko wanaoandika facts na vitu vya maana?

Nmefanya research kwa mda sasa, naomba watanzania wanisaidie kupata majibu.
Kwa sababu wanatumia nguvu kubwa kuaminisha watu uongo ili uonekane ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…