Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

..Ccm wanaweza kuamua wenyewe kwasababu serikali ni yao, na asilimia 90% ya wabunge ni Ccm.

..kusema kwamba kuunda Tume Huru ya uchaguzi kunahitaji Ccm na Chadema kukaa mezani ni ulaghai.
Tume iliyopo ni huru kabisa na yenye uwezo wa kutenda haki.
 
Wewe ni miongoni mwa vijana wasio na MCHANGO kwa jamii. Mmeibemenda Katiba yenu. Tutailinda Chadema mpaka KUFA.
 

Attachments

  • v09044g40000cu8cf9fog65g717gh240.mp4
    8.8 MB
..Tume iliyopo sio huru.

..Na Ccm inao uwezo wa kurekebisha mapungufu hayo.
Ni huru. kinachowaangusha upinzani siyo tume bali ni udhaifu wa vyama vyenu na kukosa sera na ajenda zenye kugusa Maisha ya watu.
 
Yaani Lissu akajadiri demokrasia na wafu kama kina wasira? Au wapuuzi kama kina chimbi, au wajinga kama kina Makonda.
 
Sema kimejipa ridhaa. Ila utakubaliana na mimi km una akili timamu na hauna mahaba niue na ccccccm
 
Yaani Lissu akajadiri demokrasia na wafu kama kina wasira? Au wapuuzi kama kina chimbi, au wajinga kama kina Makonda.
Wasira yule ni wa kurudishwa hifadhi ya Gombe akale matunda pori ndiyo maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…