Pre GE2025 Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu amekuwa makamu mwenzyekiti na amefanya press nyingi lkn hajawahi kukemea vitendo viovu kuonesha hata akiwa mwenyekiti ataweza kweli kutekeleza hilo.
Kwa hiyo solution ni kuendelea na mfalme Mbowe? 😂😂
 
Akiongea Tundu Lissu, unahisi kabisa moyoni mwako kwamba huyu jamaa ni Simba asiye ogopa vita.

MBOWE ana uwoga mwingi
 
Jamaa yuko vyema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…