Pre GE2025 Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli , lkn cha kushangaza lissu anakuwa controlled by Msigwa
Labda kuna mambo kayaongea msigwa yana ukweli lakini wa kukitaka chama kisimame imara. Hivyo kwa Lissu kuyarejea haimanishi kuendeshwa na Msigwa, isipokuwa ni mfanano wa kifikra wa namna gani chama kiendeshwe kwa masilahi ya Taifa na wanachama.
 
Kama Mimi nipo kwenye denial Lissu nae yupo kwenye Denial pia...!
Basi subiri uone muziki wa Lissu hizi ni rasharasha tu ngoja kipyenga kipulizwe huyo Mbowe atajuta kumfahamu atakuwa analala na viatu.
 
Labda kuna mambo kayaongea msigwa yana ukweli lakini wa kukitaka chama kisimame imara. Hivyo kwa Lissu kuyarejea haimanishi kuendeshwa na Msigwa, isipokuwa ni mfanano wa kifikra wa namna gani chama kiendeshwe kwa masilahi ya Taifa na wanachama.
Huyo mjinga achana nae utoto unamsumbua
 
Labda kuna mambo kayaongea msigwa yana ukweli lakini wa kukitaka chama kisimame imara. Hivyo kwa Lissu kuyarejea haimanishi kuendeshwa na Msigwa, isipokuwa ni mfanano wa kifikra wa namna gani chama kiendeshwe kwa masilahi ya Taifa na wanachama.
Hujasoma gazeti la mwananchi la juzi. Kwamba msigwa ndio mpanga mikakati ya lissu
 
Wewe unajaza upuuzi wako wa ujinga ujinga bure kabisa.
Sheikh anaoza binti wa miaka nane huko Lindi, anasema kuruan inaruhusu,ni kweli!??
Hoja ya Msigwa ndio mpanga mikakati ya LISSU iliandikwa vizuri ktk gazeti la mwananchi
 
Basi subiri uone muziki wa Lissu hizi ni rasharasha tu ngoja kipyenga kipulizwe huyo Mbowe atajuta kumfahamu atakuwa analala na viatu.
Atasahau yote aliemlea miezi 3 Nairobi baada kushambuliwa? Anamfata msigwa
 
Bofya huto tumaandushi tudogo twa buluu. Shehe ndiyo shida ya kukimbia Ilmu dunia😆
Lissu kasoma UK lkn mwisho wa siku anaendeshwa na msigwa std 7 , na kasahau kabisa baada kumiminiwa risasi mbowe ndio aliengoza harakati za maisha yake. Akili sio kusoma sana dunia. Akili ni kuthamini ubinaadam. Kwa hivyo bora mimi sikusoma dunia lkn akili yangu ipo free tofauti na hii ya Lissu ambayo controlled by Msigwa
 
Back
Top Bottom