Vinginevyo hakuna sababu ya kugombea; labda kujitafutia sifa tu binafsi...ukisikiliza majibu ya Lissu kutokana na maswali ya waandishi wa habari ametoa kauli za kumheshimu Mbowe.
..lakini unapogombea uongozi ktk hatua ya awali ni lazima kama mgombea ujitofautishe na mtangulizi / aliyeko ktk nafasi.