Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Haya, ngoja tusubiri majibu ya wengineFikra mgando na kukurupuka!
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema
View attachment 3210116
Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?
hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.
View attachment 3210123
Toa Maoni yako
Hapa akiwa kijana
Mzee wa chama...
Dah watu wakatili sana.
Karibu sana KamandaKazi imeanza!
Ccm ya chura kiziwi ni mrenda mtupu
Kwakweloooo......na pia hata urais utakua wa hukohuko kwa hao wageni Ubeligiji wamuandalie kiti chake hukoHii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema
View attachment 3210116
Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?
hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.
View attachment 3210123
Toa Maoni yako
Hakika tumejua ukweli huu CCM ni chama kigodo sana ukilinganisha na CDM ila dola ndio inafanya ccm ionekane ina nguvu.Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema
View attachment 3210116
Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?
hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.
View attachment 3210123
Toa Maoni yako
Ndio maananamuita ropo.ropo.Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema
View attachment 3210116
Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?
hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.
View attachment 3210123
Toa Maoni yako
BabuMzee wa chama...
Kile Chama Cha Matamasha ya Wasanii Tanzania?Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema