Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

Screenshot_2025-01-22-12-09-42-1.png

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

IMG-20250121-WA0072.jpg

Toa Maoni yako
 
Hiyo picha nilipoiona imenikumbusha clip za watoto wa kichina wakifundishwa technology huku watoto wa kiafrika wakikata viuno shuleni

Ingawa hapo juu wote ni sawa
Tusubiri mabadiliko siku moja na kama watakuwa tofauti
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
Kwakweloooo......na pia hata urais utakua wa hukohuko kwa hao wageni Ubeligiji wamuandalie kiti chake huko
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
Hakika tumejua ukweli huu CCM ni chama kigodo sana ukilinganisha na CDM ila dola ndio inafanya ccm ionekane ina nguvu.
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
Ndio maananamuita ropo.ropo.

Chadema kubwa ilisimamisha wagombea asilimia 20% tuu Nchi nzima 😆😆
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
Kile Chama Cha Matamasha ya Wasanii Tanzania?
Wenzao wamekesha nje ya Ukumbi wa Mlimani City huku wakiwa wamefika pale kwa kujugharamia, wapo nje usiku kucha, wananunuliana na kugawana vyakula vinywaji kidigo walivyo navyo.

Lakini wenyewe wamegharamiwa kwenda Dodoma kwa ajili kuhudhuria Mkutano wenye mambo wasiyoyajua, wakakesha Bar, Club na kumbi zote za starehe, wakinywa, wakila na kungonoka, halafu aliyewaita akajiteua, wakamstaafisha makamo, wenyewe wanabaki kushangilia tu.
 
Back
Top Bottom