Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

Kile Chama Cha Matamasha ya Wasanii Tanzania?
Wenzao wamekesha nje ya Ukumbi wa Mlimani City huku wakiwa wamefika pale kwa kujugharamia, wapo nje usiku kucha, wananunuliana na kugawana vyakula vinywaji kidigo walivyo navyo.

Lakini wenyewe wamegharamiwa kwenda Dodoma kwa ajili kuhudhuria Mkutano wenye mambo wasiyoyajua, wakakesha Bar, Club na kumbi zote za starehe, wakinywa, wakila na kungonoka, halafu aliyewaita akajiteua, wakamstaafisha makamo, wenyewe wanabaki kushangilia tu.
Noma sana
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
maoni yangu ni kwamba naona uoptoshaji na kudanganya wanachama wake umeanza rasmi chadema 🐒
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
Ni ukweli, ccm ni chama Dola, chadema ni chama Cha kidemokrasia
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
Matokeo ya uchaguzi October 2025 yatatuonesha nani mkubwa ,kunywa mtori nyama ziko chini
 
Hongera sana Erythrocyte
Tokea nikujue hapa JF hujawahi kubadilika
Sisi wengine tumetoka na sasa tunarudi maana tulishindwa kuvumilia baadhi ya mambo ndani ya chama ile wewe umesimama imara na makamanda wengine.

Hongera sana unabii wa Sheikh Yahaya unaenda kutimia
 
Fikra mgando na kukurupuka!
Angesema cdm ni bora kuliko ccm angekuwa sahihi. Lakini ukweli ni kuwa ccm ni kubwa kuliko cdm, japo sio kwa sababu ya ubora, bali sababu za kihistoria.
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
Walioko Chadema wameingia kwa utashi si kwa kulazimika wapate kazi, chuo au biashara.
 
Angesema cdm ni bora kuliko ccm angekuwa sahihi. Lakini ukweli ni kuwa ccm ni kubwa kuliko cdm, japo sio kwa sababu ya ubora, bali sababu za kihistoria.
Ukubwa uliozungumzwa siyo wa Umri
 
Hongera sana Erythrocyte
Tokea nikujue hapa JF hujawahi kubadilika
Sisi wengine tumetoka na sasa tunarudi maana tulishindwa kuvumilia baadhi ya mambo ndani ya chama ile wewe umesimama imara na makamanda wengine.

Hongera sana unabii wa Sheikh Yahaya unaenda kutimia
Asante sana
 
Back
Top Bottom