Lissu, do you think you are that much of a threat to Samia regime/Government to the extent of silencing you by bribing you, tena kupitia Abdul!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!

Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
 
Mbona kama unahaha ? Utulie tu ? Au ndio zile buku 10 kaziniiiii
 
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!

Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........

..kwa hapa tulipofika Abduli anatakiwa ahojiwe. kauli ya Abduli ni muhimu ili ukweli ujulikane.
 
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!

Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........

Sio threat kwa Sababu tu Madam Samia ana jeshi, Hakuna lingine!
 
Retired kwa hio Dulla alienda na fuko la pesa kumhonga TL ili asigombee uenyekiti?
sijui, sijui ndiyo maana nimeuliza Lisu aseme DDulla alikwenda kumuhonga ili iweje? Lisu hajawahi kusma hilo...akiwa Mwenyekti Chadema ndiyo atakuwa tishio kwa usalama wa serikali/mamlaka ya urais wa samia?
 
Ndiyo lisu ni tishio Kwa huyu bibi.lisu akigombea urais na kukawa na tume huru na polisi pamoja na tiss wakasimamia taratibu zao za kutokumbeba yeyote(yaani ajibebe mwenyewe)itakuwa mapema tu huyo mama yenu atafungasha mizigo yake kwenda kizimkazi kwa kushindwa kwenye sanduku la kura
 
Atakua tishio, kama wewe mwenyewe umetumwa asubuhi hii umfungulie uzi unafikiri Masihara?🤣🤣
uzi fikirishi....mimi ni chadema damu damu, fuatilia machapisho yagu hapa JF.....One of my favorite politicians is LISU, kabla ya kuwa kichaaa kama alivyo sasa kwa kukosa kaba ya ulimi! kugeuza mdomo wake kuwa mtara wa maji machafu
 
sijui, sijui ndiyo maana nimeuliza Lisu aseme DDulla alikwenda kumuhonga ili iweje? Lisu hajawahi kusma hilo...akiwa Mwenyekti Chadema ndiyo atakuwa tishio kwa usalama wa serikali/mamlaka ya urais wa samia?

..sakata hili liliwahusisha Lissu, Wenje, na Abduli.

..kwanini wanaohojiwa ni Lissu, na Wenje, peke yao?

..Kwanini Abduli hahojiwi?
 
Ndiyo lisu ni tishio Kwa huyu bibi.lisu akigombea urais na kukawa na tume huru na polisi pamoja na tiss wakasimamia taratibu zao za kutokumbeba yeyote(yaani ajibebe mwenyewe)itakuwa mapema tu huyo ma yenu atafungasha mizigo yake kwenda kizimkazi kwa kushindwa kwenye sanduku la kura
Huwezi jua hilo, ni maombi yetu., mimi na wewe na inawezekana.....lakini jibu kubwa wanalo wapiga kura!
 
CDM ndio yenye mlima wa kupanda.

Hakuna Samia, bali kuna CCM.

Kwa sasa CDM kuna Lissu na Mbowe, hakuna CDM.

Wakiambiwa CCM ni lidubwasha kubwa ambalo uwezi limudu kwa kujigawa hawaelewi.

Kwa kurujea tena, hakuna Samia kuna CCM nyuma yake.
 
Back
Top Bottom