Mbona kama unahaha ? Utulie tu ? Au ndio zile buku 10 kaziniiiiiSidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Jibu hoja, jibu hoja nitakuona wa maana kuliko singeli hizi za mipasho ya akina mama !Mbona kama unahaha ? Utulie tu ? Au ndio zile buku 10 kaziniiiii
Mimi ni chadema damu damu for your information......Mbona kama unahaha ? Utulie tu ? Au ndio zile buku 10 kaziniiiii
Unarukia train kwa mbele.....tulia TL atasema yoote mbona una pressure ?? Muda mwalim mzurii....Jibu hoja, jibu hoja nitakuona wa maana kuliko singeli hizi za mipasho ya akina mama !
Wewe mwenyewe hujaweka hoja, ajibu hoja ipi, umeweka mawazo yako, tena unadhania tuuJibu hoja, jibu hoja nitakuona wa maana kuliko singeli hizi za mipasho ya akina mama !
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
nirekebisheje, nisaidie....Sawa kiongozi lakini title yako ina makosa.Ukipata muda fanya kubadili
sijui, sijui ndiyo maana nimeuliza Lisu aseme DDulla alikwenda kumuhonga ili iweje? Lisu hajawahi kusma hilo...akiwa Mwenyekti Chadema ndiyo atakuwa tishio kwa usalama wa serikali/mamlaka ya urais wa samia?Retired kwa hio Dulla alienda na fuko la pesa kumhonga TL ili asigombee uenyekiti?
uzi fikirishi....mimi ni chadema damu damu, fuatilia machapisho yagu hapa JF.....One of my favorite politicians is LISU, kabla ya kuwa kichaaa kama alivyo sasa kwa kukosa kaba ya ulimi! kugeuza mdomo wake kuwa mtara wa maji machafuAtakua tishio, kama wewe mwenyewe umetumwa asubuhi hii umfungulie uzi unafikiri Masihara?🤣🤣
sijui, sijui ndiyo maana nimeuliza Lisu aseme DDulla alikwenda kumuhonga ili iweje? Lisu hajawahi kusma hilo...akiwa Mwenyekti Chadema ndiyo atakuwa tishio kwa usalama wa serikali/mamlaka ya urais wa samia?
Huwezi jua hilo, ni maombi yetu., mimi na wewe na inawezekana.....lakini jibu kubwa wanalo wapiga kura!Ndiyo lisu ni tishio Kwa huyu bibi.lisu akigombea urais na kukawa na tume huru na polisi pamoja na tiss wakasimamia taratibu zao za kutokumbeba yeyote(yaani ajibebe mwenyewe)itakuwa mapema tu huyo ma yenu atafungasha mizigo yake kwenda kizimkazi kwa kushindwa kwenye sanduku la kura
Tumuomba Odemba amuhoji Abdul ngoja niweke uzi..sakata hili liliwahusisha Lissu, Wenje, na Abduli.
..kwanini wanaohojiwa ni Lissu, na Wenje, peke yao?
..Kwanini Abduli hahojiwi?