Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Uhakika gani?Tundu Lissu ziku zote huwa anatoa taarifa zenye uhakika sina shaka katika hili makinikia alishashauri lakini watu walimuita kibaraka leo hii kweli tunashitakiwa
Aliwaambieni Mlinzi pamoja na Mama yake mzazi Magufuli wamekufa ilikuwa kabla hata ya mazishi ya Magu.