Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Tundu Lissu ziku zote huwa anatoa taarifa zenye uhakika sina shaka katika hili makinikia alishashauri lakini watu walimuita kibaraka leo hii kweli tunashitakiwa
Uhakika gani?

Aliwaambieni Mlinzi pamoja na Mama yake mzazi Magufuli wamekufa ilikuwa kabla hata ya mazishi ya Magu.
 
Ushahidi?

Mimi naweza kusema nimekuta 1bn USD nyumbani kwako.

Magufuli ana mali gani ndani na nje ta nchi? Familia yake inaiishije ni kama Riz one?
 
Huenda zilikuwa ni za kazi maalum ya usalama wa Taifa
Jambo kama hilo kwa hindi Magufuli alivyokuwa anachukiwa na watu serkalini lazima habari ingevuja tu! Hata Samia alisema hela za Prebargan ziko China na lengo ilikuwa kumchafua Magufuli lakini mpaka leo bawana majibu!
Magufuli anamapungufu yake lakini kwenye upuuzi huu haiwezekanani!
 
Ana audience yake ya kuwalisha ujinga na kuamini kila anachosema.
Mashenzi kama wewe ndio mlikuwa mnaejiita Wazalendo na kukomoa wengine Kwa sababu mlikuwa kwenye Neema.

Hii Nchi bila kuwafyeka mapanga watu dizaini ya nyie wanafiki haiwezi kusogea
 
Ushahidi?

Mimi naweza kusema nimekuta 1bn USD nyumbani kwako.

Magufuli ana mali gani ndani na nje ta nchi? Familia yake inaiishije ni kama Riz one?
Nikwambie hawa watu waliomchukia Magufuli pamoja na Wazungu angekuwa na fedha iwe ndani au nje ya nchi lazima wangemtangaza kuharibu legazi yake!
 
Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua Chadema

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi.

Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Mfalme wa kwenu tu mimi natoka kanda ya ziwa sikubaliani na wewe
 
Ushahidi?

Mimi naweza kusema nimekuta 1bn USD nyumbani kwako.

Magufuli ana mali gani ndani na nje ta nchi? Familia yake inaiishije ni kama Riz one?
Kwani mnaposemaga upigaji umerudi Huwa mnaweka ushahidi? Nyie ni matapeli na majizi mnastahili kuchinjwa kama nguruwe.

Kiufupi ndio mlikuwa mnanufaika huku mkiimbia wenzenu mliowakamua kama sisi tuwe wazalendo mbwa nyie misukule ya Mwendazake
 
Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua Chadema

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi.

Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Lissu namuona anafanana sana na JPM, wanapigania wanachokiamini. Lakini huwa wakati mwingine hawatakafari madhara yake kwa umoja wa Watanzania.

Nafikiri akipewa madaraka, Urais atakuwa kama JPM.
 
Thubutu! Hayo ni maneno ya kijiweni na wapumbavu kama wewe ndiyo mnakariri. Nimesema Magufili ameondoka na utakiona cha moto uchaguzi wa 2025 ukipita. Sasa hivi mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili 2025 msilete longolongo.
Exactly,tutawatia adabu kkenge Hawa
 
Nikwambie hawa watu waliomchukia Magufuli pamoja na Wazungu angekuwa na fedha iwe ndani au nje ya nchi lazima wangemtangaza kuharibu legazi yake!
Inashangaza, ukiangalia familia ya JPM ipo simple sana, hawababaiki na vyeo, teuzi, madaraka, pesa.

Watuwekee ushahidi anamiliki nyumba ngapi Tanzania, biashara ngapi Tanzania? Wapinzani wake wote wapo serikalini sasa haya tuwekeeni account zake mpeni Lissu aseme. Mfanye hivyo hivyo kwa Kikwete, Mwinyi, Samia, Mkapa na Nyerere.
 
Kwanza kabisa niweke wazi kwamba tuhuma bila ushahidi ni uzushi .bil 100 ni nyingi sana .

Pili hizi pesa ambazo TL amedai zilikutwa nyumbani kwa hayati magufuli ni nyingi sana ,ni pesa ambazo huwezi ficha kwenye begi ni fedha za kuweka kwenye chumba .

Je hayati Magufuli huko Chato alikuwa anaishi peke yake ?

Je hayati alikuwa mtuhumiwa mpaka watu wakapekue kwake ?

Je TL anadanganya umma ?​
 
Mashenzi kama wewe ndio mlikuwa mnaejiita Wazalendo na kukomoa wengine Kwa sababu mlikuwa kwenye Neema.

Hii Nchi bila kuwafyeka mapanga watu dizaini ya nyie wanafiki haiwezi kusogea

Wewe kila siku huwa nakwambia ni zwazwa moja linalotetea na kusifia ujinga.

Ni mtu wa kuja hapa na kusifia watu wanaoharibu mashirika ya umma na kutumia nguvu bila ya kuelewa unasifia nini.

Hiyo faida ya billion 109 hipo wapi hapo. Angalia other income ni kiasi gani kwenye kutengeneza hiyo faida; halafu soma note 11 uangalie what constitute other income 80% sio liquidity ambayo utaikuta bank.

Sasa kama unaweza ongopewa wazi hivyo, kwanini nishangae wewoe kukubali hadithi za mitandaoni. Ni mtu mmoja wa hovyo kazi yako kusifia na kutukana watu tu kwenye hili jukwaa, huku mods wakikuchekea.

Nyie ndio watu mlioharibu uraisi wa Samia kwa kumuongepea na maujinga yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…