Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Yeye alisema "alivyoambiwa". Labda kitu cha kujiuliza ni aliambiwa na akina nani? Watu wa mtaani au 'insiders'? Yeye katoa alichoambiwa: ni kweli au si kweli, hatujui. Sasa tufanyeje? Tumlaumu aliyesema alivyoambiwa au tuwalaumu anaodai walimwambia? Kuna principle kwamba unapokuwa huna uhakika wa jambo "suspend judgement". Ndivyo mimi nilivyofanya.
 
Sina cha kuongeza hapa. Zaidi nasema Asante.
 
Kwani mleta thread hapa ni Lissu?
 
Kwa mtu kama Raisi uto ni tupesa tudogo sana,
Amekua waziri Mika kibao, mtu yupo tangu Enzi za Mkapa akose ivyo vihela, na mwisho wa Siku akawa Raisi
Ukumbuke watu wanajua mshahara wa magufuli tangu akiwa mwalimu, mbunge, waziri, rais, pamoja na biashara zake zote.
 
Itoshe kusema huna akili,

Nyie ndio mlioshikiwa akili au kufungwa kamba shingoni, mnaburuzwa tu kila sehemu.

Sasa hiyo claim ina vivid evidence gani ili kuithibitisha?
Nyie hata mkipewa ushahidi ni kazi bure lissu aliposhambuliwa na magufuli nini mmefanya mpaka leo ?
 
Mpaka leo wajinga hamjaweka evidence.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu ni punguwani tu....

Hana ushahidi bali kubwabwaja tu....jinga sana
 
Huyu mtu naona amechanganyikiwa!! Utashindanaje na marehemu!! Anajitafutia kuchukiwa bure!!
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia endo.
Mzigo ulikamatwa na kurudishwa Benki Kuu kutumia yake malori ya kijivu yakisindikizwa na Land cruiser 2, moja mbele na moja nyuma.
 
Mzigo ulikamatwa na kurudishwa Benki Kuu kutumia yake malori ya kijivu yakisindikizwa na Land cruiser 2, moja mbele na moja nyuma.
Haha

Ndiyo ushahidi huu? Umeisha au unaendelea?
 
Hivi ni kweli? Au ndo kupakana matope kumeanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…