Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Sasha nauwona mwisho wa Tundu tunduni japo yatupasa kujiuliza ninkwa uwelewa wake au hakuwa sawa🤐 yapo mengi yamkabili kupona kifo sio kitu rahisi
 
Tujikumbushe: Kukutwa kwa bilioni 100 zimefichwa Chato kwa mwendazake

Daaah nimekumbuka hii ishu nikacheka sana[emoji23]

Kusema kweli hii nchi imepigwa sana mnakumbuka lile sakata la mwendazake kujifichia mapesa zaidi ya bilioni 100 za kitanzania nyumbani kwake Chato?

Naskia mrithi wake alishtuka balaa hiyo siku akaduwaa hakuamini macho yake kuwa kumbe jamaa alikua mpigaji

Tena pesa zenyewe zilikua ni dola za kimarekani (USD) huku akituaminisha kuwa mabeberu ni watu wabaya!!

Kitendo cha pesa kuwekwa kwenye majaba ndo kiliacha watu vinywa wazi!! Kwahesabu zile pesa zilikua ni zaidi ya bilioni 100 za kitanzania, hii ishu nakumbuka hata lissu aliwahi kuisema hii

Ila nawaambia hakuna awamu hela zinapigwa kama hii ya mama hii ndo komesha maana pesa zinaliwa kuanzia juu hadi chini....

Bora kipindi kile hela zilikua zinaliwa na mwendazake tu na wengine hamruhusiwi kula ila sasahivi ni circle nzima ya watawala kuanzia juu kule hadi ngazi za mashinani pesa zinaliwa vibaya mno na ukizingatia walishaambiwa wajipimie ndo ufisadi umetamalaki.

Pamoja na yote bado mwendazake alijitahidi kuisimamia pesa angalau watu waliogopa kudokoa mnakumbuka sakata la hatichafu aliwafukuza wakurugenzi watatu papo hapo?

Huyu mtu alikua na mazuri yake kuna kalegacy flan hivi kakuchukia wizi na uoga wa kudokoa alikatengeneza kwa wasaidizi wake na hii ilisaidia watu hawakujipimia sasahivi watu wanakula mpaka wanavimbiwa kila mradi hata kama ni kuwa kununua kikombe cha chai cha ofisini watu lazima wapige hapo 10%

Kwenye nidhamu ya kazi,utendaji na kusimamia fedha bado mwendazake ni bora kuliko Samia.Samia hakuna kitu anaweza kauli pekee alikemea ufisadi ni kutumia neno "stupid" tu...

By the way kila mchuma janga hula na wakwao tulimkosoa sana mwendazake watu walikula hadi shaba enzi zile na kupotea Mungu akajibu Maombi kaja Mama ambaye anajinadi ni mwanageuzi haya sasahivi uhuru upo vipi hali ipoje???Wafuasi wa hayati wanagonga cheers wakisema "kiko wapi??Si mlitaka uhuru nyie?".

Kuna muda mtu unashindwa kujua ushike wapi usishike wapi kwa jinsi nchi inavyopigwa kwasasa.....By the way R.I.P NGOSHA ulifanya part yako...
 
Acha ziliwe tu, hamna namna.
 
Kumbe mwendazake hakuwa na HOFU ya MUNGU anawaibia WANYONGE
 
Wewe ulishuhudia hizo 100B zilivyokutwa? au unasikiliza uzushi wa mitaani? achana na story za vijiweni. Mpaka kukutwa kwa hizo hela, ni nani alienda kufanya upekuzi wa nyumba ya Jiwe na kwa madhumuni gani na kwa ruhusa kutoka kwa nani? na baada ya kukutwa hizo hela ni nini kilifanyika?
 
Yaani awamu hii inaachaje kupiga hela, wakati waliokuwa wanashurutisha waonekane wazalendo walificha hela nyingi hivyo nyumbani? Ndio maana alikuwa anataka arudishwe akafie nyumbani Ili atoe muongozo wa kuficha hizo hela.
 
Uzushi wa mtaaani ndio ulisema kafariki, wakati ukweli wa serekali ilikuwa ni mzima anachapa kazi.
 
Acha unafiki hapa, hata wewe sasa ukipata fursa utapita na kilcho mbele yako.

Elewa kuwa kila mtu ni mwizi pale anapopata nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…