Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Acha uzwazwa wewe
 
Kwa kinga aliyonayo Rais kikatiba hakuna mwenye mamlaka ya kwenda kupekua nyumba yake, hizo 100B ni nani alienda kupekua?
 
Yaani awamu hii inaachaje kupiga hela, wakati waliokuwa wanashurutisha waonekane wazalendo walificha hela nyingi hivyo nyumbani? Ndio maana alikuwa anataka arudishwe akafie nyumbani Ili atoe muongozo wa kuficha hizo hela.
Lazima Ipige Cash Ndefu
 
Watu tumeshaokota sana vichwa vya treni.
 
Akili za kuambiwa unatakiwa uchanganye na zako. Billion 100 dogo unazifahamu?
 
Duuuh kumbe hadi uzi ulishawahi kuja humu kuhusu hili
Maana ule uzi wangu kuna wajinga walinitukana wakidhan namsingizia
 
Picha ya mabilioni yaliyofichwa ipo wapi?
 
UKIMWELEWA LISU AKILIYAKE ILIVYO UJUE TAYARI UCHIZI KAMA YEYE UNAKUANZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…