Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Sijamaliza kusoma ila wewe jamaa ........ulistahili hata kuwa katibu wa mama abdul...............popote ulipo hennessy inakuhusu tena ile gold
 
Lissu hakukamatwa ila Slaa yupo ndani?

Ukiambiwa Lissu yupo kwenye payrol fulani usishangae. 😂😂😂. Ni muda tu ndio unatenganisha upande.
 
Duuuuh huyu jamaa ni hatari sana...
 
Jiwe alikuwa fisadi
Boss, tumia akili za kawaida na acha chuki za kijinga, yn hata jamaa hajazikwa afu watu waende kupekua nyumbani kwa JPM hv kwa akili yako hiyo ishu inawezekana?
Point yao ilikuwa ni ipi?

Nyie chadema ndo mlikuwa mnalalamika ety Tz kuna vita, hv mnajua vita nyie?
 
N furaha yangu kuona h Comment ipo page ya kwanza.
 
Duuuuh huyu jamaa ni hatari sana...
Kama kawaida yake

Lisu kupaka matope watu bila hata kutoa chembe ya ushahidi ni kawaida yake hadi mtu unajiuliza huo uwakili wake wa mahakama aliupataje?

Muhimili wa mahakama ujitathimini sababu mtu msomi wa sheria uwakili wake pia huonekana kwenye statements zskr kwenye public

Mahakama itusaidie Lisu alipataje uwakili?

Mahakama inabidi zifuatlie utendaji wa mawakili wao ndani ya mahakama na nje ya mahakama
 
Lisu azunguke Kanda ya ziwa yote bila kusahau mikoa ya iringa na Njombe kuwaomba msamaha wanaichi Kwa huu uzushi
 
Saa100 anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…