Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Kakosea hesabu ila hizi ni propaganda tu za vijiweni!
Hizo hesabu za wapi. Hio hela ukiigeuza unapata around 96 billions za kibongo. Kwa nafasi na wizara alizokuwa ametumikia ni wazi kuwa lazma angestaafu na mipunga ya kutosha. Huwezi kuwa wizara ya ujenzi halafu ukose kumiliki hizo.
 
Mkuu kinachoongelewa Kwenye +255 Operesheni ni Ufisadi wa CCM na Viongozi wake waliotufikisha hapa.

Sasa sijui unapinga nini hapo.
 
Jpm alikuwa mwizi tu kama ccm wenzake
 
Inafurahisha sana bhaghosha...akimtusi Mama Samia mnafurahia. Sasa anamtukana Mwendazake unapaniki?
 
Ahaa. Unaona sasa akili ndogo ulizonazo. Unadhani ukimsema mama yangu ndiyo makamasi uliyoweka kichwani yatatoka? Utafia hapo hapo Bongo wewe achana na mimi kabisa ni namba nyingine.
Unajua ulichonijibu hapo juu, I dare you S.o.b!
 
Moja ya sifa kubwa ya Lissu ni kusema ukweli. Hana tabia ya kusingizia uongo mtu hata kama ni mbaya wake.
Lakini hili jambo nilisikia likisemwa na watu wenye dhamana wa ndani zaidi.
 
wewe unajuaje kama hana uthibitisho? au unataka tukuamini wewe mwanaccm uliyekomea kura moja kwenye gulio lenu la rushwa ambalo huwa mnaita kura ya maoni ya chama chenu, unasema hearsay kwani hearsay haina evidential value kwa ujumla wake? hujui kuwa hearsay under certain circumstances is admissible and carries evidential weight, by the way lissu hajaallege bali ameeleza kilichokutwa baada ya aliyekuita kuwa wewe ni njaa kufariki.

Mwisho usipende kudraw conclusion kuwa hana uthibitisho wakati wewe mwenyewe hujui kama hana au anao huo unaoita uthibitisho, otherwise tuambie kama uliwasiliana na lissu akakwambia hana huo uthibitisho na usipotuambia kama uliwasiliana naye tutakuona ni msaka tonge kama wenzio huko ccm.
 
Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua CDM

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi,,
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Aa wapi, huijui kanda ya ziwa wewe!
 




Uko vizuri mkuu wewe kweli ni great thinker.
 
Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua CDM

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi,,
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
kanda ya ziwa ipi uniongelea kama hujui kanda ya ziwa ni chadema labda kama unaongelea kanda ya ziwa kwa wizi wa kura.
 
Mkuu kinachoongelewa Kwenye +255 Operesheni ni Ufisadi wa CCM na Viongozi wake waliotufikisha hapa.

Sasa sijui unapinga nini hapo.
Hakuna ninachopinga so kama ni muendelezo wa hiyo +255 basi kola la kheri lakini nami yangu yana maana yake ukisoma between lines.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…