mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Wazazi wako ndio wajinga hawakutumia kinga kuzaa toto jinga shoga kama wewe pumbavu wewe na wazazi wakoKama walivyo wajinga wazazi wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi wako ndio wajinga hawakutumia kinga kuzaa toto jinga shoga kama wewe pumbavu wewe na wazazi wakoKama walivyo wajinga wazazi wako.
Mm hata niambiwe Mzee Magufuli alikua jambazi wa kutupa bado nitakua upande pmj na kwamba hatunae tena, naamini mzee alikua na nia njema na uchungu juu ya Taifa hili lenye viongozi wezi na mafisaKiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?
Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?
Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].
Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?
Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Mkuu Pascal Mayalla ushahidi wa nini kwa watu wasioshitakika? Ili uupeleke wapi? Ukaufanyie nini?Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akiitwa kuthibitisha, huyooo... kurejea kwake na kusingizia anatafutwa!. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?.
Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must proves!.
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Bora mwiz anaejali watu wa chini kuliko mwizi anaejipendelea mwenyeweUtofauti wake na mafisadi wengine ni kwamba Jiwe alikuwa na roho mbaya kutaka kula peke yake
Thubutu! Hayo ni maneno ya kijiweni na wapumbavu kama wewe ndiyo mnakariri. Nimesema Magufili ameondoka na utakiona cha moto uchaguzi wa 2025 ukipita. Sasa hivi mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili 2025 msilete longolongo.Wewe namba gani huko kubeba mabox na kubaguliwa na hao mabwana zako mabeberu unaona sifaaa!! Shithole
UnaTaka nikufirimbe shoga baba yakoVipi kwani umeacha ushoga lini?
Najiuliza kwa hiyo walipozikuta walizichukua? Wakazipeleka kwa nini? Aliyewatuma ni nani? Kwa lengo gani?Mm hata niambiwe Mzee Magufuli alikua jambazi wa kutupa bado nitakua upande pmj na kwamba hatunae tena, naamini mzee alikua na nia njema na uchungu juu ya Taifa hili lenye viongozi wezi na mafisa
Tundu lisu ziku zote huwa anatoa taarifa zenye uhakika sina shaka katika hili makinikia alishashauri lakini watu walimuita kibaraka leo hii kweli tunashitakiwaNiliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akiitwa kuthibitisha, huyooo... kurejea kwake na kusingizia anatafutwa!. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?.
Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must proves!.
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Huna lolote wewe. Upumbavu na kutoijua dunia tu ndiyo kunakumaliza.Unajua ulichonijibu hapo juu, I dare you S.o.b!
Hiki ndio hata mie nimeongelea na wao hawataki kukaa kuwaza kwa nini tunasema hivi.Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua CDM
hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi,,
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Moja ya sifa kubwa ya Lissu ni kusema ukweli. Hana tabia ya kusingizia uongo mtu hata kama ni mbaya wake.
Lakini hili jambo nilisikia likisemwa na watu wenye dhamana wa ndani zaidi.
Umekosea42,000,000 x 2300=9,660,000,000
Hivi unadhani Marehemu alikuwa anaiba peke yake kama kibaka wa mtaani?Lissu ameanza kupotea njia...atuletee jinsi ya kupambana na hawa walio hai wanaolihujumu taifa.
Marehemu hajitetei.
Shauri yako na hiyo oparesheni uchwara😂Mkuu kwa kadri oparesheni 255 inavyoendelea ndivyo utakavyojijua wewe ni bwege sana , maana wenzako wameiba sana !
Hata gold alikutwa nazo!Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akiitwa kuthibitisha, huyooo... kurejea kwake na kusingizia anatafutwa!. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?.
Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must proves!.
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Ndio shule yangu ya kata ndugu yangu imeishia happUmekosea
Kwahiyo inamaana hujui kabisa kazi ya pesa?Hivi bilioni 100 zinafanya nn nyumbani kwa mtu? Tutumie akili basi[emoji23][emoji23]