Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu zaidi sasa.
Mwenyekiti tupo nyuma yako na tunaomba uendelee na moto huo huo hadi kieleweke.
Mwenyekiti tupo nyuma yako na tunaomba uendelee na moto huo huo hadi kieleweke.