Kabisa ashikirie hapo hapo.Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu zaidi sasa.
Mwenyekiti tupo nyuma yako na tunaomba uendelee na moto huo huo hadi kieleweke.
Yanaongeaga kama yamekamilika mno. Mbwa Hawa wanatakiwa wawe chama Cha upinzani. Mbwa nyie akina mkenda na vimbwa wenzako wengine. Yana roho mbaya Sana haya ma mbwa.Wataondoka tuu hao majizi ya mtaala mpya ambao ni hewa
Lissu anajua mpaka anakera jamani , mh heche balaa lake sio la nchi hii.Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu zaidi sasa.
Mwenyekiti tupo nyuma yako na tunaomba uendelee na moto huo huo hadi kieleweke.
Nimelisikia lile barmaid la UWT linabwata kama limekunywa maji ya chooniWatu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu zaidi sasa.
Mwenyekiti tupo nyuma yako na tunaomba uendelee na moto huo huo hadi kieleweke.
Mkuu copy hili andiko paste kwa mdude Niangalie huko X kisha mtag Heche, Lissu NK.Kazi ya Lissu ni ndogo sana saivi.
Kwanza akutane na Viongozi wa Dini aanze na TEC then KKKT then amalize na Sheikh Ponda
Pili ni hotuba tu za kuwatoa matongotongo Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya dola ( Vyombo vya ulinzi na usalama)
Alafu anamalizia vikao na wahisadi na wafadhili.
Ni kupiga misumali mwanzo mwisho hadi Lumumba waseme poo. Tumechelewa sana na CCM wakiendekezwa nchi hii tusahau KATIBA MPYA na Mabadiliko ya Kweli ambayo yatatuhakikishia maendeleo ya kweli.
Mtaaaala mgumu huo sjawahi kuona watoto wadgo wanasoma vitu vigumu sanWataondoka tuu hao majizi ya mtaala mpya ambao ni hewa
Kudadeki ..nimeangalia kitabu Cha English form 1... Ndugu yangu mambo ni mengi.. Kuna maneno ya phonology , semantics mpaka morphologyMtaaaala mgumu huo sjawahi kuona watoto wadgo wanasoma vitu vigumu san
Pia siyo vibaya Lissu kuonana na vyombo vya dola wakamwelewa mindset yake.Kuna ubaya gani kuonana na CDF au IGP jaji Mkuu Mwana sheria Mkuu nk. asiwe mbali na vyombo hivi ku share nao concerns in privacyKazi ya Lissu ni ndogo sana saivi.
Kwanza akutane na Viongozi wa Dini aanze na TEC then KKKT then amalize na Sheikh Ponda
Pili ni hotuba tu za kuwatoa matongotongo Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya dola ( Vyombo vya ulinzi na usalama)
Alafu anamalizia vikao na wahisadi na wafadhili.
Ni kupiga misumali mwanzo mwisho hadi Lumumba waseme poo. Tumechelewa sana na CCM wakiendekezwa nchi hii tusahau KATIBA MPYA na Mabadiliko ya Kweli ambayo yatatuhakikishia maendeleo ya kweli.
Atafika tu huko huyu ndiye aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu nq Watz wengi.Pia siyo vibaya Lissu kuonana na vyombo vya dola wakamwelewa mindset yake.Kuna ubaya gani kuonana na CDF au IGP jaji Mkuu Mwana sheria Mkuu nk. asiwe mbali na vyombo hivi ku share nao concerns in privacy
Ooh yes, good idea 👍. Hasa IGP na CDF even though naona response yao itakuwa ni ndogo.Pia siyo vibaya Lissu kuonana na vyombo vya dola wakamwelewa mindset yake.Kuna ubaya gani kuonana na CDF au IGP jaji Mkuu Mwana sheria Mkuu nk. asiwe mbali na vyombo hivi ku share nao concerns in privacy