Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hapo ni issue ya maadili,wewe hufajamu kitu.
Mke wa Lissu ni Mkerewe binti Wa Mzee Magabe.
Na sio huyo Mzungu asilani.
Ninamjua mke wa Lissu ni mwanamama wa Kitanzania, soma vizuri swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni issue ya maadili,wewe hufajamu kitu.
Mke wa Lissu ni Mkerewe binti Wa Mzee Magabe.
Na sio huyo Mzungu asilani.
Yeye anasema anaipigania nchi hii,na ina maana anaipenda!Umesema wazi kuwa wako Ulaya wanaendelea na masomo, sasa ulitaka wakatishe masomo yao?
Kwanza tuambie ni kwa nini Lissu kaja tu,na ugaidi umerudiTunajua Sukuma Gang mumeumia sana kuona Lissu yuko hai na mzilankende yuko motoni anapokea ujira wake. Na tunajua kuwa mnapanga kulipua mabomu kwenye mikutano yetu. Na mlivyo wapumbavu mnaona Chadema ni adui yenu ilhali adui yenu ni Msoga Gang.
Sukuma Gang mtakufa kwa Sonoma mwaka huu. Hivi mnafikiri huu upuuzi wenu mnaojaza kwenye mitandao unaweza ku reverse muelekeo wa nchi kwa sasa? Kubalini matokeo tu kama vipi rudini kwenu Burundi.Kwanza tuambie ni kwa nini Lissu kaja tu,na ugaidi umerudi
By U.S. EMBASSY DAR ES SALAAMSECURITY ALERT – U.S. EMBASSY DAR ES SALAAM, TANZANIA
Location: High traffic areas frequented by Westerners in Dar es Salaam and elsewhere in Tanzania
Event: Locations frequented by U.S. citizens and other Westerners in Dar es Salaam and elsewhere in Tanzania continue to be attractive targets to terrorists planning to conduct attacks. Terrorist groups could attack with little or no warning, targeting hotels, embassies, restaurants, malls and markets, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.
Actions to Take:
Be alert to your surroundings.Practice personal security measures.Stay alert in locations frequented by tourists/Westerners.Keep a low profile.Visit our website for Travel to High-Risk Areas .S. citizens who travel abroad should always have a contingency plan for emergency situations. Review the Traveler’s Checklist .
Assistance:
U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani,
P.O. Box 9123
Dar es Salaam, Tanzania
+255 22 229 4000
drsacs@state.gov
Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko..... kwamba,atawaomba watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025.
Lakini wakati akisema hayo.
Lissu ametelemka uwanja wa Ndege wa "JNIA" Dar es Salaam, akiwasili bila kuandamana na familia yake!
Kwa maana kwamba amewaacha watoto wake,wakiendelea na mihula yao ya Masomo,huko Ulaya,
sambamba na mkewe ambae kimsingi ndie msimamizi wa familia.
Pia hata aliekuwa dereva wake,ambae walikimbia wote. Huenda anaendelea na kibarua chake huko huko,akaendelea kuwapeleka watoto shule na huduma zingine.
Hivyo,Lissu yuko hapa kimwoli,lakini kimawazo na kimaslahi..
Yeye yuko Ulaya!
Na ikitokea akahsmasisha vurugu,zikitokea kutodhibiyika Lissu yeye atatimkia tena Ubelgiji,akiwaacha mkiumia kama alivyokw8sha fanya hapo awali mwaka 2020,baada ya uchaguzi mkuu.
Lissu amekwisha lipwa stahiki zake zote,ikiwemo pia na gharama zake za matibabu
(hii ni kwa mujibu wa kauli za serikali, pamoja na Lissu mwenyewe).
Hata shavu lake linaashiria kwamba yuko kwenye neema.
Sasa anakuja kuwahamasisha watu walioko kwenye hizi dhiki za "Tozo",kwamba tatizo la dhiki zoote,litaondoka pale tu,watakapoamua kuingia mtaani kudai katiba mpya kwa kutumia ....People's Power [emoji367]....
Waumie wanyonge,wafe wanyonge,wapate vilema wanyonge....yaani Punda afe,ila Mzigo ufike!
Kisha siku ikitokea ndoto yake ikatimia...
Ndio familia yake ije nchini na kuendelea kulamba asali,baada ya kuwatumia wanyonge kwa utofahamu wao wa mambo!
Lissu na wanasiasa wengi wa kariba yao,hawana mapenzi ya dhati na watanzania wanyonge wa nchi hii.
Ndio maana yeye kwa ubinafsi wake,hufurahia pale mali za nchi hii kukamatwa nje ya nchi na kupelekea serikali kulipa mapesa mengi a
Ambayo kimsingi ni jasho la walipa kodi wa nchi hii,ambao ndio sisi wanyonge anaotudhihaki kila uchao!
Ni Lissu huyuhyu ambae huwa ni mtetezi wa wezi wa madini yetu toka Ulaya,akifikia hadi kutoa ushirikiano kwao kitupeleka "MIGA" ili watushinde na kulipwa fidia na kisha yeye apate ujira wske kwa mchango wake.
Pia atutolee udafanuzi kuhusu hii picha hapa.
Rais mtarajiwa wa Chadema,kwamba huyu mzungu ndie nani,na wakati haya yakiendelea....mkeo alikuwa wapi hapo airport???
View attachment 2496063
Hii ilikuwa juzi Huko Ubelgiji,muda mfupi kabla ya kuingia ndani ya ndege kuanza safari ya Tanzania.
Nimekuja na nimetoa nilichokiona.
Wale wa matusi pia karibuni...ika jiwe la gizani limerushwa!
Alamsikhi.
10101.
Acha upumbavu mkuu... Hata kama uko kwenye mfumo nufaika ktk mambo ya msingi jaribu kuacha upumbavu.
Baada ya kampeni 2020, alitibua nini hadi akarudi Ubelgiji?Yeye anasema anaipigania nchi hii,na ina maana anaipenda!
Nini maana ya kurudi nyumbani.
Huyu amewazowea manyunbu wake.anawatumia akiidha tibua mambo anatimkia kwake Ubelgiji tena.
Kama alivyofanya baada tu ya kampeni 2020 +
Wakati unaandika ujinga wako,bangi ilikuwa pembeni yako au Konyagi mabaki ya mwenyekiti?
Mlitaka watoto wake waje ili muwaue baada ya kushindwa kumuua yeye?Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko..... kwamba,atawaomba watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025.
Lakini wakati akisema hayo.
Lissu ametelemka uwanja wa Ndege wa "JNIA" Dar es Salaam, akiwasili bila kuandamana na familia yake!
Kwa maana kwamba amewaacha watoto wake,wakiendelea na mihula yao ya Masomo,huko Ulaya,
sambamba na mkewe ambae kimsingi ndie msimamizi wa familia.
Pia hata aliekuwa dereva wake,ambae walikimbia wote. Huenda anaendelea na kibarua chake huko huko,akaendelea kuwapeleka watoto shule na huduma zingine.
Hivyo,Lissu yuko hapa kimwoli,lakini kimawazo na kimaslahi..
Yeye yuko Ulaya!
Na ikitokea akahsmasisha vurugu,zikitokea kutodhibiyika Lissu yeye atatimkia tena Ubelgiji,akiwaacha mkiumia kama alivyokw8sha fanya hapo awali mwaka 2020,baada ya uchaguzi mkuu.
Lissu amekwisha lipwa stahiki zake zote,ikiwemo pia na gharama zake za matibabu
(hii ni kwa mujibu wa kauli za serikali, pamoja na Lissu mwenyewe).
Hata shavu lake linaashiria kwamba yuko kwenye neema.
Sasa anakuja kuwahamasisha watu walioko kwenye hizi dhiki za "Tozo",kwamba tatizo la dhiki zoote,litaondoka pale tu,watakapoamua kuingia mtaani kudai katiba mpya kwa kutumia ....People's Power [emoji367]....
Waumie wanyonge,wafe wanyonge,wapate vilema wanyonge....yaani Punda afe,ila Mzigo ufike!
Kisha siku ikitokea ndoto yake ikatimia...
Ndio familia yake ije nchini na kuendelea kulamba asali,baada ya kuwatumia wanyonge kwa utofahamu wao wa mambo!
Lissu na wanasiasa wengi wa kariba yao,hawana mapenzi ya dhati na watanzania wanyonge wa nchi hii.
Ndio maana yeye kwa ubinafsi wake,hufurahia pale mali za nchi hii kukamatwa nje ya nchi na kupelekea serikali kulipa mapesa mengi a
Ambayo kimsingi ni jasho la walipa kodi wa nchi hii,ambao ndio sisi wanyonge anaotudhihaki kila uchao!
Ni Lissu huyuhyu ambae huwa ni mtetezi wa wezi wa madini yetu toka Ulaya,akifikia hadi kutoa ushirikiano kwao kitupeleka "MIGA" ili watushinde na kulipwa fidia na kisha yeye apate ujira wske kwa mchango wake.
Pia atutolee udafanuzi kuhusu hii picha hapa.
Rais mtarajiwa wa Chadema,kwamba huyu mzungu ndie nani,na wakati haya yakiendelea....mkeo alikuwa wapi hapo airport???
View attachment 2496063
Hii ilikuwa juzi Huko Ubelgiji,muda mfupi kabla ya kuingia ndani ya ndege kuanza safari ya Tanzania.
Nimekuja na nimetoa nilichokiona.
Wale wa matusi pia karibuni...ika jiwe la gizani limerushwa!
Alamsikhi.
10101.
Lisu amekumbatiana na shoga? Au macho yangu?Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko..... kwamba,atawaomba watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025.

We pimbi naona unahangaika sana, taga yai ikibidi ili utulieHili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko..... kwamba,atawaomba watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025.
Lakini wakati akisema hayo.
Lissu ametelemka uwanja wa Ndege wa "JNIA" Dar es Salaam, akiwasili bila kuandamana na familia yake!
Kwa maana kwamba amewaacha watoto wake,wakiendelea na mihula yao ya Masomo,huko Ulaya,
sambamba na mkewe ambae kimsingi ndie msimamizi wa familia.
Pia hata aliekuwa dereva wake,ambae walikimbia wote. Huenda anaendelea na kibarua chake huko huko,akaendelea kuwapeleka watoto shule na huduma zingine.
Hivyo,Lissu yuko hapa kimwoli,lakini kimawazo na kimaslahi..
Yeye yuko Ulaya!
Na ikitokea akahsmasisha vurugu,zikitokea kutodhibiyika Lissu yeye atatimkia tena Ubelgiji,akiwaacha mkiumia kama alivyokw8sha fanya hapo awali mwaka 2020,baada ya uchaguzi mkuu.
Lissu amekwisha lipwa stahiki zake zote,ikiwemo pia na gharama zake za matibabu
(hii ni kwa mujibu wa kauli za serikali, pamoja na Lissu mwenyewe).
Hata shavu lake linaashiria kwamba yuko kwenye neema.
Sasa anakuja kuwahamasisha watu walioko kwenye hizi dhiki za "Tozo",kwamba tatizo la dhiki zoote,litaondoka pale tu,watakapoamua kuingia mtaani kudai katiba mpya kwa kutumia ....People's Power [emoji367]....
Waumie wanyonge,wafe wanyonge,wapate vilema wanyonge....yaani Punda afe,ila Mzigo ufike!
Kisha siku ikitokea ndoto yake ikatimia...
Ndio familia yake ije nchini na kuendelea kulamba asali,baada ya kuwatumia wanyonge kwa utofahamu wao wa mambo!
Lissu na wanasiasa wengi wa kariba yao,hawana mapenzi ya dhati na watanzania wanyonge wa nchi hii.
Ndio maana yeye kwa ubinafsi wake,hufurahia pale mali za nchi hii kukamatwa nje ya nchi na kupelekea serikali kulipa mapesa mengi a
Ambayo kimsingi ni jasho la walipa kodi wa nchi hii,ambao ndio sisi wanyonge anaotudhihaki kila uchao!
Ni Lissu huyuhyu ambae huwa ni mtetezi wa wezi wa madini yetu toka Ulaya,akifikia hadi kutoa ushirikiano kwao kitupeleka "MIGA" ili watushinde na kulipwa fidia na kisha yeye apate ujira wske kwa mchango wake.
Pia atutolee udafanuzi kuhusu hii picha hapa.
Rais mtarajiwa wa Chadema,kwamba huyu mzungu ndie nani,na wakati haya yakiendelea....mkeo alikuwa wapi hapo airport???
View attachment 2496063
Hii ilikuwa juzi Huko Ubelgiji,muda mfupi kabla ya kuingia ndani ya ndege kuanza safari ya Tanzania.
Nimekuja na nimetoa nilichokiona.
Wale wa matusi pia karibuni...ika jiwe la gizani limerushwa!
Alamsikhi.
10101.
Aliewakosesha ubunge kuanzia mwenyekiti mpaka katibu mkuu Chadema.
Hakika hamtakaa mumsahau Jembe Magufuli, mpakansingia kaburini kila mmoja kwa wakati wake.
Ndugu wa marehemu inatendeka sanaWewe kwa uelewa wako mdogo uko sahihi,maana ndio upeo wako....
Ila tafakari kauli hizi..
Kwamba ...
"tunafanya mazungumzo....ila tukishindana huko,tutakuja kwenu....na tutakuja ili tuingie mtaani kuhakikisha tunawashinikiza watawala tuipate katiba mpya kabla ya 2025"
Ule mzogaYule ni iblis dhwaalimu