Lissu familia ameiacha Ulaya halafu anahamasisha maandamano ya Wanyonge?

Hapo ni issue ya maadili,wewe hufajamu kitu.
Mke wa Lissu ni Mkerewe binti Wa Mzee Magabe.
Na sio huyo Mzungu asilani.

Ninamjua mke wa Lissu ni mwanamama wa Kitanzania, soma vizuri swali
 
Mwisho wa siku;-

Tuseme KWA pamoja

Mungu ibariki nchi yetu Tanzania!

Wanasiasa wenye ushawishi mkubwa wanakuja na kuondoka lakini nchi inabaki!

Tujenge Taifa na nchi yetu tisijenge majina ya watu!Africa ina majina makubwa Sana kuliko nchi lakini Matatizo ya kijinga ya tangu uhuru hadi leo bado yapo!

Tuendelee kupambana!!
 
Sanaaaa, hasa wafuasi wa yule dikteta
Aliewakosesha ubunge kuanzia mwenyekiti mpaka katibu mkuu Chadema.
Hakika hamtakaa mumsahau Jembe Magufuli, mpakansingia kaburini kila mmoja kwa wakati wake.
 
Lissu has a white lover.
sijui kama kingereza changu kimezingatia
vocabulary!?
 
Umesema wazi kuwa wako Ulaya wanaendelea na masomo, sasa ulitaka wakatishe masomo yao?
Yeye anasema anaipigania nchi hii,na ina maana anaipenda!

Nini maana ya kurudi nyumbani.
Huyu amewazowea manyunbu wake.anawatumia akiidha tibua mambo anatimkia kwake Ubelgiji tena.
Kama alivyofanya baada tu ya kampeni 2020 +
 
Tunajua Sukuma Gang mumeumia sana kuona Lissu yuko hai na mzilankende yuko motoni anapokea ujira wake. Na tunajua kuwa mnapanga kulipua mabomu kwenye mikutano yetu. Na mlivyo wapumbavu mnaona Chadema ni adui yenu ilhali adui yenu ni Msoga Gang.
Kwanza tuambie ni kwa nini Lissu kaja tu,na ugaidi umerudi

By U.S. EMBASSY DAR ES SALAAMSECURITY ALERT – U.S. EMBASSY DAR ES SALAAM, TANZANIA

Location: High traffic areas frequented by Westerners in Dar es Salaam and elsewhere in Tanzania



Event: Locations frequented by U.S. citizens and other Westerners in Dar es Salaam and elsewhere in Tanzania continue to be attractive targets to terrorists planning to conduct attacks. Terrorist groups could attack with little or no warning, targeting hotels, embassies, restaurants, malls and markets, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.



Actions to Take:

Be alert to your surroundings.Practice personal security measures.Stay alert in locations frequented by tourists/Westerners.Keep a low profile.Visit our website for Travel to High-Risk Areas .S. citizens who travel abroad should always have a contingency plan for emergency situations.  Review the Traveler’s Checklist .



Assistance:

U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani,
P.O. Box 9123
Dar es Salaam, Tanzania
+255 22 229 4000

drsacs@state.gov
 
Sukuma Gang mtakufa kwa Sonoma mwaka huu. Hivi mnafikiri huu upuuzi wenu mnaojaza kwenye mitandao unaweza ku reverse muelekeo wa nchi kwa sasa? Kubalini matokeo tu kama vipi rudini kwenu Burundi.
 

Mambo ya family ni maisha binafsi ya mtu

Sio Sawa kuingilia Maisha binafsi ya mtu yoyote
 
Yeye anasema anaipigania nchi hii,na ina maana anaipenda!

Nini maana ya kurudi nyumbani.
Huyu amewazowea manyunbu wake.anawatumia akiidha tibua mambo anatimkia kwake Ubelgiji tena.
Kama alivyofanya baada tu ya kampeni 2020 +
Baada ya kampeni 2020, alitibua nini hadi akarudi Ubelgiji?
 
Mlitaka watoto wake waje ili muwaue baada ya kushindwa kumuua yeye?
 
Kwa usalama zaidi hata kama nasafiri km 500 au zaidi siwezi kwenda na familia yangu yote kwa pamoja tutaenda hawamu kwa hawamu.Tundu Lisu yuko sahihi zaidi.
 
Lissu anafanya kazi ya siasa inavyotaka, sio yule boss wake mlamba asali anavyogeuka chawa mpaka aibu.
 
Lisu amekumbatiana na shoga? Au macho yangu?

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Vp wataka kuliwa ww denda????mbna una wivu sana?????
 
We pimbi naona unahangaika sana, taga yai ikibidi ili utulie
 
Ndugu wa marehemu inatendeka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…