Lissu familia ameiacha Ulaya halafu anahamasisha maandamano ya Wanyonge?

Katiba mpya ni sasa.. Kataa wezi wa miradi ya wafadhili na kodi zetu






 
Mashoga mnazidi kuivamia JF
 
Mzirakende makende yashaliwa na funza muda huu.
 
Mpumbavu ni wewe unaetegenea mtu bila tafakuri!
Mpumbavu ni wewe muandika midtari miwili ya matusi na kingia mitini!
Moumbevu ni yule amtumain8ae binadamu mwenzake!
Eti....@blogger ,

Wewe bi blogger wa Ushuzi.
Hivi siku hizi ni book 7 au bure kabisa! Mada km hizi zinashusha hadhi zenu na chama. Umeandika hovyohovyo

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Kwangu mimi;
  • Sioni tatizo kuiacha familia Ulaya kwani kama mzazi ana haki ya kuilinda.
  • Sioni tatizo kwake kuhamasisha maandamano kwakuwa akifanya hivyo na vurugu zikatokea ndio anafanikisha matunzo na malezi ya familia yake Ulaya kwakuwa yeye ni mzazi mwenye akili.
  • Sioni tatizo kwa wale wajinga wakaokubali kuandamana na kupigwa kwasababu Wahenga waliishasema WAJINGA NDIO WALIWAO! Kama wamekubali kuandamana na kushughulikiwa tatizo sio Lissu ni hao wajinga waliokubali kutumika!
  • Sioni tatizo baada ya hapo Lissu kurudi Ulaya kwa familia yake na kuwaacha wajinga wakiendelea kujiuguza na kusotea rumande kwasababu WAJINGA NDIO WALIWAO!!
 
Ila nyie wakolomije mmeumia sana Lisu kuwa hai na kurud bongo, na bado atawapiga nje ndani bila kupepesa macho!! Majitu hayawez kujibu hoja kbs eti suluhisho ni pyupyu.
 
Tunajua Sukuma Gang mumeumia sana kuona Lissu yuko hai na mzilankende yuko motoni anapokea ujira wake. Na tunajua kuwa mnapanga kulipua mabomu kwenye mikutano yetu. Na mlivyo wapumbavu mnaona Chadema ni adui yenu ilhali adui yenu ni Msoga Gang.
Mzila nini?πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa wewe familia yake unaitaka ya nini? kwani katiba inayotakiwa ni ya lisu au wananchi?
 
Sasa wewe familia yake unaitaka ya nini? kwani katiba inayotakiwa ni ya lisu au wananchi?
 
Wengine humu siyo hata uvccm Kuna vizee humu ubongo wao una matope wanabaki na vihoja vya kwenye vijiwe vya kahawa wasikusumbuwe wamezoea kuishi kwa buku Saba au kashata na kahawa
 
Nauli haikutosha kusafiri wote kwahiyo wao watakuja badaye.
 
Lissu ataendelea kuwa mwanaharakati na muongeaji..lakini hana haiba ya kupata nyazfa kubwa, mfano Uraisi, Waziri mkuu, Makamu wa Rais n.k..
Hata Chadema..mkimuweka Lissu kuwa Mwenyekiti wenu, mmeisha...Mnahitaji watu wenye cool head kama Mbowe na wengine wengi tu, wako Chadema....
Kujua vitu vingi...na kujua wapi pa kusema na wapi pa kutosema ni karama kubwa...

Lissu ajikite kwenye uhalisia wake zaidi-uwana harakati..na si vingine....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…