Lissu familia ameiacha Ulaya halafu anahamasisha maandamano ya Wanyonge?

Tunajua Sukuma Gang mumeumia sana kuona Lissu yuko hai na mzilankende yuko motoni anapokea ujira wake. Na tunajua kuwa mnapanga kulipua mabomu kwenye mikutano yetu. Na mlivyo wapumbavu mnaona Chadema ni adui yenu ilhali adui yenu ni Msoga Gang.
Sasa wewe fala Lissu ana nini cha maana cha kufanya mtu aumie.yaani kuna majitu majinga sana hii nchi.huyo mtu wenu uchaguzi ukiisha anarudi kwao na muwe mnamfata huko kwao ulaya mbwa nyie
 
Hapo ni issue ya maadili,wewe hufajamu kitu.
Mke wa Lissu ni Mkerewe binti Wa Mzee Magabe.
Na sio huyo Mzungu asilani.
Acha kupotosha More Mugabe ni Mkurya na siyo Mkerewe.
 
Aandamane yeye na madogo waliotoka chuo juzi juzi!!!!!
 
Mathayo 12: 46-50

Hivi huyo anayesimulia hapo ni Yesu? Soma vizuri

46 Wakati alipokuwa akizungumza na watu, mama yake na ndugu zake walisimama nje wakataka kuongea naye.

47 Mtu mmoja akamwambia, “Mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kuon gea na wewe.”

48 Lakini akamjibu yule mtu aliyemwambia, “Mama yangu ni nani, na ndugu zangu ni nani?
 
Mbona umeishia katikati?
 
Mbona umeishia katikati?

Nimekuwekea hiyo uliyoweka wewe kuanzia Mathayo 46 to 50

46 Wakati alipokuwa akizungumza na watu, mama yake na ndugu zake walisimama nje wakataka kuongea naye.

47 Mtu mmoja akamwambia, “Mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kuon gea na wewe.”

48 Lakini akamjibu yule mtu aliyemwambia, “Mama yangu ni nani, na ndugu zangu ni nani?

49 Akinyoosha kidole chake kwa wanafunzi wake, alisema , “Hawa hapa ndio mama yangu na ndugu zangu

50 Kwa maana ye yote anayefanya mapenzi ya Baba yangu wa mbinguni, ndiye kaka, dada na mama yangu.”


Sasa tuambie huyo anayesimulia hapo ni Yesu ?
 
jamaa mjinga sana unaifuatilia familia ya lisu kuliko hata mumeo. alikushika viboko? muache lisu afanye siasa wewe endelea kuchunga huko usukumani
 
Wakati unaandika ujinga wako,bangi ilikuwa pembeni yako au Konyagi mabaki ya mwenyekiti?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vijana wa lumumba ,akili huwa mnaziacha wapi?Pole sana voicer ipo siku UTASIKIKA TU NA WATAKUSIKIA...IPO SIKU NJAA ITAACHA MWILI,
 
Aliewakosesha ubunge kuanzia mwenyekiti mpaka katibu mkuu Chadema.
Hakika hamtakaa mumsahau Jembe Magufuli, mpakansingia kaburini kila mmoja kwa wakati wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vipi hapo kaburini?je leo upepo unatoka kus au kasi?
 
Sasa huyu anamkazaje huyo mzungu na mavyuma yote yale aliyotuanyesha kule kijijini?🤣
 
Wewe ni mpuuzi sana! Takataka wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…