Huyu Lissu ni kweli ametumwa...there is no doubt about it ...anazungumzia jeshi la akiba, ni lipi Hilo?
Thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Lissu ni kweli ametumwa...there is no doubt about it ...anazungumzia jeshi la akiba, ni lipi Hilo?
Thanks
Kwahiyo sasa hivi tuko kwenye vita hao migambo wa kuchonga mmewatanguliza kama chambo ?Acha upotashaji wewe, hii haiko kwenye matakwa ya kisheria ya hiyo ajira ya JWTZ. Lakini kwa migambo na JKT wakati wa vita wanaweza kupekekwa mstari wa mbele kama chambo, kusaidia logistics zingine za kivita nk.
Jeshi la akiba linatoa wapi mamlaka ya kulinda mikutano ya kisiasa ?UMETOA DOZI KUBWA KWA MWANAFUNZI WA CHEKECHEA LABDA MWONGEZEE KWAMBA MKUU WA JESHI LA AKIBA ANA CHEO CHA MAJOR GENERAL KUTOKA JWTZ LABDA YEYE NA WAPAMBE WAKE WATAELEWA
Ujuaji mwingi utawaponza ukihoji uhalali wa wanamgambo maana yake unahoji uhalali wa Jeshi la wananchi wa Tanzania kwakuwa mgambo ni sehemu ya jeshi hilo. Kwa taarifa yako na wenzako kila mtanzania ni mlinzi wa nchi yake popote alipo, mikutano ya siasa ni sehemu ya shughuli za watanzania na wanahitaji ulinzi bila kujali anayelinda ni nani ili mradi anayelinda hajavunja sheria ya ulinzi na usalama.Tunahoji uhalali wao kisheria ni sheria ipi imeunda hilo jeshi la akiba ?
Je lini mikutano ya kisiasa imeanza kulindwa sungusungu ?
Kwahiyo sasa hivi tuko kwenye vita hao migambo wa kuchonga mmewatanguliza kama chambo ?
Mkuu tupe kifungu cha sheria kinachounda hili jeshi haramu la kuchonga.Soma michango hapa, yuko mchangiaji kesha weka screen short yake kutoka kwenye katiba ya lugha ya Kisukuma. Kama wewe ni Msukuma ama ulishawahi kuishi Usukumani.
Mkuu kwani tuko vitani kiasi cha jeshi la akiba kuwa sanctioned??Acha ujinga reserve forces (Mgambo) wakati wa amani wanatumika kama Police auxiliary au police wasaidizi na wanawajibika moja kwa moja kwa polisi na ndiyo maana sehemu nyingi wanamgambo wanalinda pasipokuwepo polisi na wanafanya vizuri sana kwakuwa nguvu kazi hii inapatikana kila mahali kuliko polisi ambao ni wachache kufika kila eneo ila wakati wa vita majeshi yote active na reserve forces huungana pamoja chini ya JWTZ kupambana na adui rejea vita vya Kagera kama ulikuwepo kama hukuwepo kaa kimya.
Sasa si wangevaa kimgambo ili waeleweke?,,hivi viswahili vya jeshi la akiba havijaxoelejaJeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
Unajua sheria ya uchaguzi inasemaje juu ya ulinzi kwenye mikutano ya kisiasa ?Ujuaji mwingi utawaponza ukihoji uhalali wa wanamgambo maana yake unahoji uhalali wa Jeshi la wananchi wa Tanzania kwakuwa mgambo ni sehemu ya jeshi hilo. Kwa taarifa yako na wenzako kila mtanzania ni mlinzi wa nchi yake popote alipo, mikutano ya siasa ni sehemu ya shughuli za watanzania na wanahitaji ulinzi bila kujali anayelinda ni nani ili mradi anayelinda hajavunja sheria ya ulinzi na usalama.
HaipoKwani hakuna sheria inayounda jeshi la akiba?
Mkuu nijibu kwanza tuko vitani mpaka tuite jeshi letu hilo mnalosema la akiba ???Kazi za migambo tukiwa katika amani unazielewa? Wewe ni Ppta wa wapi?
Pole sana Jeshi la akiba kwa maana ya wanamgambo wakati wa amani hufanya kazi kama polisi wasaidizi na wanawajibika polisi mojakwa moja na kwa maana hiyo hawana mpaka wa ulinzi kwamba walinde eneo fulani tu eneo jingine wasifike hakuna kitu kama hicho , na ukileta za kuleta utankong'ontwa kama wahalifu wengine tena usiombe kukamatwa na mgambo ni kama umekamatwa na mwalimu wa wanamgambo JW wao wanajua kupiga tu na siyo hizo brabra zenu za vifungu vya sheria mara mia ukamatwe na polisi kuliko mgambo rejea Dar alivyowatumia Hon. Makonda nini kilitokea? Waheshimu sana watu hawa wanapokuwa kazini waliowafundisha hawapendi kudhalilika.Jeshi la akiba linatoa wapi mamlaka ya kulinda mikutano ya kisiasa ?
WAKATI WA AMANI WANAMGAMBO HUTUMIKA KAMA POLICE AUXILIARY rejea usimamizi wa mitihani, Mwenge, ugeni wa viongozi kitaifa huwa wanatumika hivyo nakushangaa unapouliza swali la kitoto kama hilo labda wewe siyo mtanzania kwa mtanzania hashangazwi na askari wa jeshi la akiba popote atakapowakuta na ndiyo wanatumika kila mahali ikiwemo kulinda migodi kwa asilimia kubwa migodi inalindwa na wanamgambo na ukileta fyoko utadhibitiwa kwa nguvu zote , polisi wakichelewa hawakukuti bali watakuta historia yako tu . HIVYO WAHESHIMU SANA WANAMGAMBO UPATE KUISHI KWA AMANI POPOTE ULIPO.Mkuu nijibu kwanza tuko vitani mpaka tuite jeshi letu hilo mnalosema la akiba ???
Si Tundu mwenyewe mtupu hata wanaoamini anajua kila kituPeoples' Militia
''Peoples Militia refers to an organized group of people of the United Republic of Tanzania operating with the authority of and under the aegis of the Government and which is receiving military training or is participating in any military training, quasi-military or law enforcement exercise for the protection of the sovereignty of the United Republic or for protection of the people or the property of the United Republic. This does not include the Police Force, any arm or branch of the Défense Force, the Prison Service or the National Service.
The Peoples Militia was introduced according to the Militia Act of 1963 to provide the military with Tanzanian citizens; the peasants and workers who were ready to defend their country as one of the components of the TPDF. The intent of the Peoples Militia was to create a sense of responsibility and national pride in the civilian population by welcoming the citizens to play a role in the Défense of the country.
The government decided to involve the people in defending their villages. The establishment of the militia was also in accordance with President Nyerere’s concept of having a small professional army supported by a majority in the militia. In traditional societies, every able-bodied man was also a fighter when the need arose. The Défense system therefore satisfied the need for Défense and security at the village level. This section provides you with roles of the Militia and the Militia training.''
TL ni mtupu sana.
Kwenye hiyo sheria uliyoambatanisha hapo kwenye kifungu cha 19 (1) kinasema when Tanzania is at war... ndio bla blah zingine za reserve force zinaendelea.
Safi mkuu, nadhani hapa ndipo wengi wanashindwa kuelewa na ndiyo maana hakuna anayejibu swali la Lissu kuwa hili jeshi la akiba limeanzishwa kwa mujibu wa sheria ipi ndani ya katiba?SUALA SI KUELEWA! MKUU NAZANI WENGI BADO HUMUMUELEWI HUYU JAMAA.
LISSU SIKU ZOTE ANAPENDA TARATIBU NA SHERIA TULIZOJIWEKEA ZIFUATWE NA NDO MANA HATA KATIKA HILI LA LINALOITWA JESHI LA AKIBA AMEHOJA NI WAPI LINA EXIST KWENYE KATIBA YETU AMBAYO NDO SHERIA MAMA! HAKUNA MAHALI PANATAJWA UWEPO WA JESHI LA AKIBA,
Hivyo hoja ya Lissu hapa ipo kikatiba zaidi na sio ufahamu wa nini maana ya jeshi la akiba. Kama ni ufahamu unaosemea wewe hata mtoto mdogo class I anaweza kukufafanulia nini maana yake
Hatuna jeshi la anga, hatuna jeshi la nchi kavu,hatuna jeshi la maji, tuna VIKOSI!Si kila kitu kinandikwa kwenye sheria...jeshi la akiba ni kamandi ya jeshi la wananchi wa tanzania ambapo majeshi mengine ni majeshi ya nchi kavu,majini na anga.
Kukuthibitishi hilo ndo maana mkuu wake ni afisa wa jwtz na linasimamiwa na jwtz na linapewa mafunzo na jwtz. Na vitambulisho vyao vinasainiwa na afisa wa JWTZ.
Sawa sawa na kusema leo jeshi la wanamaji limeanzishwa na sheria ipi...hitimisho jeshi la akiba ni moja ya kamandi ya jwtz na inasimamiwa na jwtz na linasimamiwa na sheria iliyoanzisha JWTZ na si jeshi linalojitegemea.
Jeshi kamili ni moja tu nchini tanzania kwa maana ambalo litasimamia na kutoa maelekezo na kupiganisha vita ktk uwanja wa medani,mengine ni majeshi usu na mengine ni kampuni za ulinzi na vingine ni vikundi vya jamii vya ulinzi kwa kuzingatia muktadha wa maana ya neno jeshi tafsiri ni nyingi kutokana na ain ya ujumbe unaotaka kuupeleka kwa jamii.
Unajua hitaji la sheria ya uchaguzi kuhusu ulinzi wa mikutano ya kisiasa ?WAKATI WA AMANI WANAMGAMBO HUTUMIKA KAMA POLICE AUXILIARY rejea usimamizi wa mitihani, Mwenge, ugeni wa viongozi kitaifa huwa wanatumika hivyo nakushangaa unapouliza swali la kitoto kama hilo labda wewe siyo mtanzania kwa mtanzania hashangazwi na askari wa jeshi la akiba popote atakapowakuta na ndiyo wanatumika kila mahali ikiwemo kulinda migodi kwa asilimia kubwa migodi inalindwa na wanamgambo na ukileta fyoko utadhibitiwa kwa nguvu zote , polisi wakichelewa hawakukuti bali watakuta historia yako tu . HIVYO WAHESHIMU SANA WANAMGAMBO UPATE KUISHI KWA AMANI POPOTE ULIPO.