Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Nimegundua kwamba najadiliana na mtu ambaye hajui lolotePole sana Jeshi la akiba kwa maana ya wanamgambo wakati wa amani hufanya kazi kama polisi wasaidizi na wanawajibika polisi mojakwa moja na kwa maana hiyo hawana mpaka wa ulinzi kwamba walinde eneo fulani tu eneo jingine wasifike hakuna kitu kama hicho , na ukileta za kuleta utankong'ontwa kama wahalifu wengine tena usiombe kukamatwa na mgambo ni kama umekamatwa na mwalimu wa wanamgambo JW wao wanajua kupiga tu na siyo hizo brabra zenu za vifungu vya sheria mara mia ukamatwe na polisi kuliko mgambo rejea Dar alivyowatumia Hon. Makonda nini kilitokea? Waheshimu sana watu hawa wanapokuwa kazini waliowafundisha hawapendi kudhalilika.