Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:


HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.

HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.

Kauli ya wengi ni kauli Mungu.

Aluta continua!
 
Kwani ni mara ya kwanza basi kusikia hizi ngonjera toka kwa jamaa.

Ukiona zinakufariji hizi,tafuta jalala maana wewe ni kichaa.

Kama huziamini tafuta dampo ujichanganye humo maana wewe ni takataka.
 
Back
Top Bottom