Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:

HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.

HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.

Kauli ya wengi ni kauli Mungu.

Aluta continua!
Hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi kwa katiba hii bora ccm wajitangaze washindi kuliko kutumia kodi zetu na kuongeza deni la taifa
 
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:

HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.

HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.

Kauli ya wengi ni kauli Mungu.

Aluta continua!

Kila msimu wa uchaguzi huwa yanasemwa haya haya lakini nchi hii haijawahi kukosa uchaguzi!
 
Hawa watakula virungu hadi wasagau walikotoka, na bahati nzuri au mbaya hakuna mwenye muda wa hayo maandamano labda kama watakuwa wenyewe waliyoyaanda na wake/waume zao!

Hata Kenya na nchi nyingi tu za Kiafrika zina katiba mpya lakini maendeleo ni sifuri bara zima la Africa!
 
Hawa watakula virungu hadi wasagau walikotoka, na bahati nzuri au mbaya hakuna mwenye muda wa hayo maandamano labda kama watakuwa wenyewe waliyoyaanda na wake/waume zao!

Virungu? Watu hawaogopi risasi!
 
Vikosi vimesha jiandaa kukabili kila aina ya Upumbavu!

Kungekuwa na vikosi vingeanzia bungeni:

F-Ay3s_WUAAKYKi.jpeg
 
Attachments

  • F-Ay3s_WUAAKYKi.jpeg
    F-Ay3s_WUAAKYKi.jpeg
    58.5 KB · Views: 1
Sema Cdm haitoshiriki LAKINI uchaguzi utakuwepo kivyovyote
 
Back
Top Bottom