Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Ukisusa twalaa
Lissu anataman kulelewa sana UZUNGUNI ๐๐๐๐
Lissu anataman kulelewa sana UZUNGUNI ๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisusa twalaa
Lissu anataman kulelewa sana UZUNGUNI ๐๐๐๐
Mkuu 'Brazaj', nadhani sote sasa hivi tunakubaliana kuwa hapatakuwepo na Katiba Mpya kabla ya uchaguzi. Hili CCM tayari wanalihesabu kuwa ushindi kwao; lakini siyo kweli. Samia alifanya hadaa toka mwanzo iwe hivyo, na ushahidi upo wazi.Hapa ni sawa:
Kushiriki uchaguzi katika mazingira yoyote yale na kuhakikisha kura zilizopigwa zinahesabika, na hakuna kura toka kwingine kokote nje ya upiga kura hili ndilo linahitaji mjadala mpana sana tokea sasa.
Bila ya kuiondoa mezani option ya kuuzuia uchaguzi kama busara haiwaingii.
Kulikoni CCM au awaye yote kutoyaona hayo kuwa ni muhimu kama ni nia yao ni kila mtu ajiridhishe na mpambano kuwa ni wa haki?
Mkuu 'Brazaj', nadhani sote sasa hivi tunakubaliana kuwa hapatakuwepo na Katiba Mpya kabla ya uchaguzi. Hili CCM tayari wanalihesabu kuwa ushindi kwao; lakini siyo kweli. Samia alifanya hadaa toka mwanzo iwe hivyo, na ushahidi upo wazi.
Pili, kama nilivyosema hapo mwanzo, swala la "kutoshiriki uchaguzi" kwa sababu yoyote ile iwe ni mwiko kabisa.
Badala yake, ninalopendekeza mimi hapa, ni CHADEMA ifanye kila juhudi tokea sasa kuwahamasisha watu washiriki kwenye chaguzi zote zitakazofanyika. hapa ndipo patakapotokea jibu sahihi kwa njama za CCM.
Tatu, juhudi zifanyike kuhimiza kubadilishwa kwa sheria za uchaguzi zilizopo sasa hivi. Naelewa kuna Bunge bandia, lakini bado ni muhimu sheria zifanyiwe marekebisho. Hata kama Tume itakuwa bado ni ya maigizo, lakini ifanye kazi chini ya sheria mpya kuliko zilizopo sasa.
Hadaa kubwa zinazofanyika huko CCM sasa hivi ni juu ya hili la sheria kubadilishwa.
Kwa hiyo hapa pia ni muhimu kujiandaa kupambana na hujuma zinazopangwa huku.
Nne, CCM, kama ilivyokuwa hivi karibuni kwa ZANU kule Zimbabwe, sasa hivi wanafanya mipango ya hujuma za kuhakikisha uchaguzi kiini macho unafanyika.
Tulisha waeleza CHADEMA, wajifunze kulifanyika nini Zimbabwe, ili wasije wakajikuta wanalia tu kama wale wenzao wa huko.
Hii ndiyo kazi tunayotaka kuwachangia mawazo CHADEMA na wawe tayari kuyafanyia kazi mapendekezo yatakayowasilishwa kwao kuzuia uhalifu wa CCM.
Hizi ni baadhi ya dondoo zinazohitaji kufanyiwa mapendekezo namna ya kuzitimiza, na mapendekezo yawasilishwe ndani ya chama.1. Kujadiliana na CCM kwa mafanikio ni kutokea kwenye point of strength si vinginevyo. Hawana nia njema hawa. Kwao hata kushinda kwa wizi ni sawa.
Rejea mbili hizi zinajielekeza:
a) Tudai uchaguzi wa haki badala ya kudai kuibiwa baada ya chaguzi
b) Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia
2. Uchaguzi si lazima uwepo 2024/25 kama mazingira yanayokubalika hayapo. Hili CCM lazima alielewe bayana, kutokea kwetu. Ikibidi uchaguzi ucheleweshwe.
3. Kutokuwepo uchaguzi kutofautishwe na kususia. Kususia hakupo ila kama mazingira siyo, uchaguzi usiwepo.
4. Mwenye kuusimamisha uchaguzi hawezi kuwa CHADEMA bali wananchi. Hapa ndipo jitihada zielekezwe kwenye kuwahamasisha watu kuuzuia uchaguzi kama yote ya kheri yakishindikana.
5. Tayari hamasa zimekwisha anza kushika kasi.
Hizi ni baadhi ya dondoo zinazohitaji kufanyiwa mapendekezo namna ya kuzitimiza, na mapendekezo yawasilishwe ndani ya chama.
Namba 5, ndio msingi wa kila kitu. Hili lisiwe la kubahatisha tena.
Weka akiba ya maneno.HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Weka akiba ya maneno.
Usije kubadilisha kauli baadae.
Labda kama ndio mara yako ya kwanza kufika Tanzania na kuwajua wanasiasa wa Tanzania.
Hizi nukuu za Castro na Biblia hazina nafasi hapa. Lissu ashiriki au asishiriki uchaguzi utakuwapo.Hakuongelewi kususia uchaguzi. Kunaongelewa kutokuwapo uchaguzi.
Kulikoni kuwa malaika wa kushindwa (angel of doom)? Kwanini tusiwekeze kwenye kuuzuia uchaguzi? Kama wewe huwezi si uwaachie walilodhamiria kuusimamisha?
Kwani ukombozi unahitaji watu wangapi ndugu?
View attachment 2798090
Hata kwenye jeshi la Gideon ilikuwa hivyo:
..maji kwa ulimi, kama vile mbwa anywavyo, wale wote wapigao magoti ili kunywa wakipeleka mikono yao vinywani mwao, waweke upande mwingine.โ
Waliokuwa wengi zaidi ndiyo walikuwa hawafai!
Katiba Mpya siyo suluhisho la matatizo. Kenya na South Africa kwa mfano wanasifiwa kuwa na Katiba nzuri lakini bado wana changamoto nyingi tu ambazo zinawasumbua kisiasa na kijamiiWanasiasa ndiyo uliowapa hukumu la kukutafutia wewe mustakabala mwema wa utangamano hapa nchini?
Unaelewa maana ya Katiba tunayotamani kuwa nayo lakini? Unatambua umuhimu wa kuwapo demokrasia nchini ( ikiwamo pia hata huko vyamani)?
Hujui matatizo yote ya nchi mzizi wa fitna ni Katiba?
Watu kama nyie ni hasara kubwa kwa Taifa hili. Ndiyo maana tunasisitiza ukombozi wa nchi hii wengine hauwahitaji. Ama kwa hakika hata mkikaa kimya au hata mkipotelea porini ni sawa tu.
Kwamba huna tofauti na li ng'ombe siyo? Sawa ndugu.
Siyo siri:
"Umesomeka vyema mjomba. Yaani vyema kabisa!."
Hizi nukuu za Castro na Biblia hazina nafasi hapa. Lissu ashiriki au asishiriki uchaguzi utakuwapo.
Kweli, tuwe tunasikiliza viapo kwa makini. Tusubiri atakayeapa kuandika katiba mpya.Raisi Samia na Serikali yake waliapa kuilinda katiba iliyopo, hawakuapa kuandika katiba mpya. Tustishane.
Katiba Mpya siyo suluhisho la matatizo. Kenya na South Africa kwa mfano wanasifiwa kuwa na Katiba nzuri lakini bado wana changamoto nyingi tu ambazo zinawasumbua kisiasa na kijamii
ccm ndio chama tawala vyovyote itakavyokuwa hawatapitisha katiba isiyo na maslahi ya kisiasa na uhai wa chama chao, ndio maana nikakwambia kubaki na matumaini na hiyo katiba uingojayo ibadilishe maisha yako ni ujinga,Ni ujinga uliopitiliza kudhani katiba ni kama kijarida chochote cha CCM au vibaraka zao:
View attachment 2798065
Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaotegemewa kukipambania chama basi ni hasara kwa Chama chako,Familia na Taifa kwa ujumla.Wanasiasa ndiyo uliowapa jukumu la kukutafutia wewe mustakabala mwema wa utangamano hapa nchini?
Unaelewa maana ya Katiba tunayotamani kuwa nayo lakini? Unatambua umuhimu wa kuwapo demokrasia nchini ( ikiwamo pia hata huko vyamani)?
Hujui matatizo yote ya nchi mzizi wa fitna ni Katiba?
Watu kama nyie ni hasara kubwa kwa Taifa hili. Ndiyo maana tunasisitiza ukombozi wa nchi hii wengine hauwahitaji. Ama kwa hakika hata mkikaa kimya au hata mkipotelea porini ni sawa tu.
Kwamba huna tofauti na li ng'ombe siyo? Sawa ndugu.
Siyo siri:
"Umesomeka vyema mjomba. Yaani vyema kabisa!."
Ww sio mtanzania acha watanzania wajadili katiba ya nchi yao.Raisi Samia na Serikali yake waliapa kuilinda katiba iliyopo, hawakuapa kuandika katiba mpya. Tustishane.
Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaotegemewa kukipambania chama basi ni hasara kwa Chama chako,Familia na Taifa kwa ujumla.
Hoja yangu nakukusha kuwa wanasiasa wa nchi hii ni vigeugeu sana leo anaweza kusema hivi na kesho akabadilisha.
Mfano hai ni kuhusu alivyodhihakiwa mzee Lowasa na wapinzani wa nchi hii hii akiwepo na Lissu ila baadae gia ikabadilishwa angani.
Sasa kwavile unatumia kichwa kufugia nywele na kuhifadhia kamasi hilo haujaona umejipa jukumu la kujiona wewe ndio mpambania haki sana hapa nchini.
Ungekuwa unajiamini wewe ni mpambanaji mzuri na hauogopi mbona unatumia fake ID unaogopa nini.Acha kujikuta mjuaji kumbe ni mweupe kwa head.
ccm ndio chama tawala vyovyote itakavyokuwa hawatapitisha katiba isiyo na maslahi ya kisiasa na uhai wa chama chao, ndio maana nikakwambia kubaki na matumaini na hiyo katiba uingojayo ibadilishe maisha yako ni ujinga,
Unaandika Pumba ukijiona unaandika mambo ya maana kweli mwenyewe.Fake ID? Hii ni halali JF. Kutumia ID kama hiyo hakuna maana yoyote kwa mwingine yeyote zaidi ya mtumiaji mwenyewe.
Haya hivyo kama wewe unatumia ID hiyo kwa woga wako au kujificha kwako hilo ni tatizo lako. Tafadhali usituongelee wengine tusiokutuma!
Hata kama unajidhania wewe ni nabii Tito, tafadhali huo ni wa kwako, familia yako au kokote ambako weee ni mshirika. Ya Kwamba hata kama wewe ni msaka watu mitandaoni au vipi?
Itoshe kukufahamisha kuwa mengine yote uliyoandika ni upumbavu mtupu, kwa maana hoja hujibiwa kwa hoja. Huna hoja ustaarabu ni kuufyata!
Habari ndiyo hiyo ndugu mjumbe.
Unaandika Pumba ukijiona unaandika mambo ya maana kweli mwenyewe.
Kweli ujinga kipaji na wewe umebarikiwa iko kipaji.