Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Acha kujipa matumain hewa, hakuna maandamano hio siku wewMaandamano ya Nov 9 yatatupa kufanya tafakuri vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujipa matumain hewa, hakuna maandamano hio siku wewMaandamano ya Nov 9 yatatupa kufanya tafakuri vizuri.
Maandamano Yana shida Gani, mbona CCM waliandamana kumpokea konda boy?Acha kujipa matumain hewa, hakuna maandamano hio siku wew
Huu ndio mjadala unaotakiwa kupamba moto hata hapa JF.Asante sana. Nasimama na maelezo yako. Ila tu hili la kuzuia uchaguzi ndiyo nina shaka. Nina shaka kwani CCM hawahitaji uchaguzi ufanyike ndiyo waseme wameshinda. Nakuhakikisha hata kama wapiga kura wakisusia vituo vyote, CCM watadai upigaji kura umeenda vizuri sana na wameshinda kwa asilimia 80. Njia iliyopo ambayo naona ni nzuri ni kama uliyoelezea... CHADEMA waanze kuandaa watu kuanzia sasa hivi...... kukiwasha iwapo CCM wataleta longolongo.
Pull up your sox! Watu wanasema katiba mpya yenye input zenye manufaa kwa raia. Kwa kifupi unaposikia katiba mpya = katiba bora. Upo?
Hivi bado yupo ulaya🤣🤣🤣
Muacheni aendelee kuota ndoto za mchana
Karibu Kamanda Lisu,Yuko ulaya?
View attachment 2798242
Kwa vile chawa hawakupenda kutamka yuko njiani anakuja? 🤣🤣
Msiyempenda kaja!
Habari ndiyo hIyo.
Imebaki story
Dr Samia ana hofu sana na Uchaguzi wa 2025HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Chadema wamechelewa sana kufika maamuzi haya.
Wameamshwa na uchaguzi wa 2020.Chadema wamechelewa sana kufika maamuzi haya.
Unahisi CHADEMA wakisusa ndio hakutakuwa na uchaguzi? Yan katika vyama 20+ chama kimoja kugoma ndio kutafuta uchaguzi? Jaribuni muone kama utakuwepo au hutakuwepo
Utaona tarehe 9/11 halafu utajua kama uchaguzi upo au haupo 😂Hakuna mahali tunaposema kususa. Anayesimamisha uchaguzi wala si Chadema hata kama yeye angetaka kushiriki.
Tunajua hata huku Chadema kina imhotep, Retired, Tua Ngoma, Lusungo na wenzao chapa nusu mkate wapo.
Iko hivi anataka uchaguzi CCM, Chadema, ACT nk tunajua si wote ila mamluki.
Wajiandae kupiga kura, ila uchaguzi hautakuwapo. Hatutausimamisha uchaguzi Kwa mwamvuli wa chama.
Inatosha!
Tumechoka. Tunawaelewa mno wanaotuita kulianzisha.
Kwa hakika hatutawaangusha.
Hii toka zamani....Chadema ndio chama pekee chenye mwelekeo wa wananchi
Naunga mkonoMkuu badala ya kujitafutia uhalali na kujihesabia hakibtungejielekeza kwenye kujikosoa zaidi. Izingatiwe wananchi wanataka:
1. demokrasia kamili vyamani na nchini.
2. Katiba mpya Sasa
3. Hakuna katiba mpya hakuna uchaguzi.
4. Bandari haziko sokoni sasa na hata milele.
Badala ya sweeping statements za kujihesabia haki, tungetafuta hata external assessors watutathmini kama wenyewe tunaoneana Haya!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Utaona tarehe 9/11 halafu utajua kama uchaguzi upo au haupo 😂
Wameamshwa na uchaguzi wa 2020.
Huu ndio mjadala unaotakiwa kupamba moto hata hapa JF.
CCM tayari wamo kazini kufanya hujuma zaidi ya hata ile tuliyo zoea kuwa wana uwezo nayo.
Kazi iliyopo tokea sasa ni njia za kuzuia hujuma hizo.
Kususia uchaguzi hilo ni jambo lisilowezekana kabisa; kwa hiyo, 'option' hiyo hata kuijadili hakuna maana tena.
Kushiriki uchaguzi katika mazingira yoyote yale na kuhakikisha kura zilizopigwa zinahesabika, na hakuna kura toka kwingine kokote nje ya upiga kura hili ndilo linahitaji mjadala mpana sana tokea sasa.