Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Wakati mwingine huwa nawaza,kama ccm wanao ratibu mchakato wa katiba,wakachezea mmchakato tena,haki ya wanannchi kupata viongozi kupitia uchaguzi si ndio basi?
Tumeshuhudia kususia kwa chadema mara nyingi,na ccm wakiendelea tu.
Tuwafikirie wataanzania kwanza.
Tutumie mifano ya Zambia.
 
Acha kujipa matumain hewa, hakuna maandamano hio siku wew
Maandamano Yana shida Gani, mbona CCM waliandamana kumpokea konda boy?

Msiogope maandamano, ni ya Amani, hatapigwa mtu jiwe!!
 
Asante sana. Nasimama na maelezo yako. Ila tu hili la kuzuia uchaguzi ndiyo nina shaka. Nina shaka kwani CCM hawahitaji uchaguzi ufanyike ndiyo waseme wameshinda. Nakuhakikisha hata kama wapiga kura wakisusia vituo vyote, CCM watadai upigaji kura umeenda vizuri sana na wameshinda kwa asilimia 80. Njia iliyopo ambayo naona ni nzuri ni kama uliyoelezea... CHADEMA waanze kuandaa watu kuanzia sasa hivi...... kukiwasha iwapo CCM wataleta longolongo.
Huu ndio mjadala unaotakiwa kupamba moto hata hapa JF.
CCM tayari wamo kazini kufanya hujuma zaidi ya hata ile tuliyo zoea kuwa wana uwezo nayo.

Kazi iliyopo tokea sasa ni njia za kuzuia hujuma hizo.

Kususia uchaguzi hilo ni jambo lisilowezekana kabisa; kwa hiyo, 'option' hiyo hata kuijadili hakuna maana tena.

Kushiriki uchaguzi katika mazingira yoyote yale na kuhakikisha kura zilizopigwa zinahesabika, na hakuna kura toka kwingine kokote nje ya upiga kura hili ndilo linahitaji mjadala mpana sana tokea sasa.
 
Pull up your sox! Watu wanasema katiba mpya yenye input zenye manufaa kwa raia. Kwa kifupi unaposikia katiba mpya = katiba bora. Upo?

Tubishanie kiswahili ndugu? Kwamba unadhani tunataka katiba mpya mbovu kuliko iliyopo ila kwa upya wake tu?

Haya si yatakuwa yaitwayo matusi ya nguoni? Please stop insulting our intelligence.

Kwa hakika siyo fair kabisa. Haipendezi!
 
Hivi bado yupo ulaya🤣🤣🤣
Muacheni aendelee kuota ndoto za mchana

Yuko ulaya?

F9jQQaeXwAAOfcq.jpeg

Kwa vile chawa hawakupenda kutamka yuko njiani anakuja? 🤣🤣

Msiyempenda kaja!

Habari ndiyo hIyo.
 
Unahisi CHADEMA wakisusa ndio hakutakuwa na uchaguzi? Yan katika vyama 20+ chama kimoja kugoma ndio kutafuta uchaguzi? Jaribuni muone kama utakuwepo au hutakuwepo

Hakuna mahali tunaposema kususa. Anayesimamisha uchaguzi wala si Chadema hata kama yeye angetaka kushiriki.

Tunajua hata huku Chadema kina imhotep, Retired, Tua Ngoma, Lusungo na wenzao chapa nusu mkate wapo.

Iko hivi anataka uchaguzi CCM, Chadema, ACT nk tunajua si wote ila mamluki.

Wajiandae kupiga kura, ila uchaguzi hautakuwapo. Hatutausimamisha uchaguzi Kwa mwamvuli wa chama.

Inatosha!

Tumechoka. Tunawaelewa mno wanaotuita kulianzisha.

Kwa hakika hatutawaangusha.
 
Utaona tarehe 9/11 halafu utajua kama uchaguzi upo au haupo 😂
 
Hii toka zamani....Chadema ndio chama pekee chenye mwelekeo wa wananchi

Mkuu badala ya kujitafutia uhalali na kujihesabia haki tungejielekeza kwenye kujikosoa zaidi. Izingatiwe wananchi wanataka:

1. demokrasia kamili vyamani na nchini.
2. Katiba mpya Sasa
3. Hakuna katiba mpya hakuna uchaguzi.
4. Bandari haziko sokoni sasa na hata milele.

Badala ya sweeping statements za kujihesabia haki, tungetafuta hata external assessors watutathmini kama wenyewe tunaoneana Haya!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mkuu badala ya kujitafutia uhalali na kujihesabia hakibtungejielekeza kwenye kujikosoa zaidi. Izingatiwe wananchi wanataka:

1. demokrasia kamili vyamani na nchini.
2. Katiba mpya Sasa
3. Hakuna katiba mpya hakuna uchaguzi.
4. Bandari haziko sokoni sasa na hata milele.

Badala ya sweeping statements za kujihesabia haki, tungetafuta hata external assessors watutathmini kama wenyewe tunaoneana Haya!

Au nasema uongo ndugu zangu?
Naunga mkono
 
Utaona tarehe 9/11 halafu utajua kama uchaguzi upo au haupo 😂

Wewe Kaa kwa kutulia. Hii shughuli haihitaji watazamaji. Kama wewe ni mtazamaji nenda hata jwa Mkapa huko, kuna kina Aziz Ki na wenzao, ukawaangalie.

Huku hakuhitaji watazamaji!
 
Huu ndio mjadala unaotakiwa kupamba moto hata hapa JF.
CCM tayari wamo kazini kufanya hujuma zaidi ya hata ile tuliyo zoea kuwa wana uwezo nayo.

Kazi iliyopo tokea sasa ni njia za kuzuia hujuma hizo.

Kususia uchaguzi hilo ni jambo lisilowezekana kabisa; kwa hiyo, 'option' hiyo hata kuijadili hakuna maana tena.

Kushiriki uchaguzi katika mazingira yoyote yale na kuhakikisha kura zilizopigwa zinahesabika, na hakuna kura toka kwingine kokote nje ya upiga kura hili ndilo linahitaji mjadala mpana sana tokea sasa.

Hapa ni sawa:

Bila ya kuiondoa mezani option ya kuuzuia uchaguzi kama busara haiwaingii.

Kulikoni CCM au awaye yote kutoyaona hayo kuwa ni muhimu kama ni nia yao ni kila mtu ajiridhishe na mpambano kuwa ni wa haki?
 
Back
Top Bottom