johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe na Sugu 😂Haya yanamhusu chamia pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe na Sugu 😂Haya yanamhusu chamia pia?
Ichaguzi utakuwapo sema yeye Tundu Lissu hatashiriki. Asiwasemee wengine. Hicho ni kipindi cha watu kupata nafasi za udiwani na ubunge na watu wamewekeza wakagombee. Lissu hawezi kuwaamulia.HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Mbowe na Sugu 😂
Ataweza kukaa kimya milele.
Ichaguzi utakuwapo sema yeye Tundu Lissu hatashiriki. Asiwasemee wengine. Hicho ni kipindi cha watu kupata nafasi za udiwani na ubunge na watu wamewekeza wakagombee. Lissu hawezi kuwaamulia.
Labda uchaguzi wa nyumbani kwake. Mimi nitakwenda kujiandikisha na kisha kupiga kura siku hiyo ikifika.HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Labda uchaguzi wa nyumbani kwake. Mimi nitakwenda kujiandikisha na kisha kupiga kura siku hiyo ikifika.
Kwanza Mbowe hawezi kukubari Kuendesha na kupelekeshwa na Lisu 🤣🤣
Ni ujinga uliopitiliza kuamini katiba mpya itakutoa hapo ulipo, katiba mpya inaweza kuja ikawa na interest za kisiasa tu lakini isibadilishe chochote kwenye maisha ya watu,Kwamba kuna makundi 2. Moja linasema uchaguzi si lazima iwepo katiba mpya na jingine linasema bila katiba mpya uchaguzi usiwepo.
Kwamba hauko katika makundi mawili hayo na Bado unasema unajitambua.
Ni kweli:
View attachment 2797775
🤣🤣
Kwani yeye nani, au ni msemaji wa vyama vyote vya siasa na Watanzania wote.HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Ni ujinga uliopitiliza kuamini katiba mpya itakutoa hapo ulipo, katiba mpya inaweza kuja ikawa na interest za kisiasa tu lakini isibadilishe chochote kwenye maisha ya watu,
Hili la kusema hakuna uchaguzi siyo jambo la kweli. As much as i like Lissu, and as much as I advocate katiba mpya lakini sioni namna ambayo uchaguzi unaweza usiwepo. Wananchi wenyewe ni hawa ambao hata kupinga dhuluma wanazofanyiwa waziwazi hawawezi ndiyo wazuie uchaguzi? BTW kwanza CCM ndiyo itafurahi kwani nani alisema wanahitaji wananchi kujitokeza kupiga kura? Nakuampia hata wangejitokeza wapiga kura milioni moja tu CCM itatoa matokeo yanayoonyesha kura zilipigwa na watu milioni ishini na yenyewe imeshinda kwa 80%Uchaguzi haupo, unaelewa maana yake?
Hili la kusema hakuna uchaguzi siyo jambo la kweli. As much as i like Lissu, and as much as I advocate katiba mpya lakini sioni namna ambayo uchaguzi unaweza usiwepo. Wananchi wenyewe ni hawa ambao hata kupinga dhuluma wanazofanyiwa waziwazi hawawezi ndiyo wazuie uchaguzi? BTW kwanza CCM ndiyo itafurahi kwani nani alisema wanahitaji wananchi kujitokeza kupiga kura? Nakuampia hata wangejitokeza wapiga kura milioni moja tu CCM itatoa matokeo yanayoonyesha kura zilipigwa na watu milioni ishini na yenyewe imeshinda kwa 80%
Ila utashi wako, auKatiba mpya si kwa utashi wa Samia au CCM
Sisieni ninyi wabwabwajaji Mheshimiwa Zitto keshasema yeye atashiriki uchaguzi.Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya,
Hapatafanyika uchaguzi wowote, time hii, hakuna kususia!!
Wanabwabwaja tu uchaguzi watashirikiMkuu tubet Million, CHADEMA hawana uwezo wa kususia uchaguzi mkuu, wa serikali za mitaa wanaweza mana hauwaathiri kwenye ruzuku, ila uchaguzi mkuu, hata bila kubadili sheria za uchaguzi hawa jamaa wanashiriki tu lazima,
kama kaul ya weng ndio ya mungu mbona kwenye gharika walibaki watu nane na wengi wakaangamia?
Zito atashiriki uchaguzi usokuwepo? Hakuna mtu atasusa time hii.Sisieni ninyi wabwabwajaji Mheshimiwa Zitto keshasema yeye atashiriki uchaguzi.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app