Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Niko palee nisubiri kuoana Kama uchaguzi hautafanyika.

Chadema tutawashukuru mno mkisusa ,hakikisheni mnasusa tuone kama tukila hatutashiba.

Nakazia:

Hapo hapo mkuu. Huku nje hali si shwari.
 
Wenzenu Waha wameshinda Ubunge Pemba 😀😀🔥
Na Zito amesema ACT Wazalendo watashiriki uchaguzi kuwe na Katiba Mpya au isiwepo hakuna kuachia mtu ushindi wa mezani.

Sasa ngoja tuone Chadema watakavyolianzisha na watakaoandamna nao 😁😁
 
Mkuu tubet Million, CHADEMA hawana uwezo wa kususia uchaguzi mkuu, wa serikali za mitaa wanaweza mana hauwaathiri kwenye ruzuku, ila uchaguzi mkuu, hata bila kubadili sheria za uchaguzi hawa jamaa wanashiriki tu lazima,
Kwanza Mbowe hawezi kukubari Kuendesha na kupelekeshwa na Lisu 🤣🤣
 
Wananchi ndiyo mamlaka kubwa kuliko zote. Wananchi walio wengi, kupitia tume ya Warioba walikwishatamka wanataka katiba mpya. Serikali inalazimika kutekeleza matakwa ya walio wengi. Kama haiwezi, inatakiwa iondolewe, iwekwe yenye uwezo wa kutekeleza matakwa ya wananchi walio wengi.
Chadema sio wasemaji wa Wananchi
 
Aliyestuka kushindwa, ni Lissu au huyu aliyeweka mabango kitapeli akimhusisha kuwa wanaiunganisha nchi?

Kwanini Katiba mpya mafunzo miaka 3? Ili ajimilikishe nchi hadi angalau 2030 siyo? Kwamba tutake au tusitake?

Anayetaka tafrani ni nani? Tunaotaka katiba mpya au anayekomaa kuzuia katiba mpya?
Kwa sababu ulipo hapo hauelewi hata maana ya Katiba Mpya
 
Nje wapi?

IMG_20211016_132442_593.jpg
 
Na Zito amesema ACT Wazalendo watashiriki uchaguzi kuwe na Katiba Mpya au isiwepo hakuna kuachia mtu ushindi wa mezani.

Sasa ngoja tuone Chadema watakavyolianzisha na watakaoandamna nao 😁😁

Mnukuu Zitto sawa sawa. Kasema hakuna kuachia nguruwe shamba.
 
Na Zito amesema ACT Wazalendo watashiriki uchaguzi kuwe na Katiba Mpya au isiwepo hakuna kuachia mtu ushindi wa mezani.

Sasa ngoja tuone Chadema watakavyolianzisha na watakaoandamna nao 😁😁
Zitto Elimu yake ya Ujerumani kaishia kuajiriwa kwenye siasa

Shule za Vipaji siku Hizi bure Kabisa

Najivunia dogo wa Mivumoni Sec pale Mtambani anayetuwakilisha vena huko Marekani

Mtambani tuko jirani na Ufipa st na wakati tunaunguliwa mabweni Dr Slaa alikuwa anakuja kuwafariji Wanafunzi 😂😂
 
Kwa hiyo walioko kwenye siasa ni losers, yaani mafala?
 
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:

View attachment 2797585

HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.

HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.

Kauli ya wengi ni kauli Mungu.

Aluta continua!

Kauli ya Tundu sio kauli ya watu wanaojinasibu kama wapinzani, hii ni
Kauli ya kushindwa
Kauli ya kudeka
Kauli ya woga
Kauli dhaifu

Kidumu chama cha mapinduzi
 
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:

View attachment 2797585

HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.

HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.

Kauli ya wengi ni kauli Mungu.

Aluta continua!
kama kaul ya weng ndio ya mungu mbona kwenye gharika walibaki watu nane na wengi wakaangamia?
 
Back
Top Bottom