Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unfortunately huu ni msimamo wake wa zamani. Sasa hivi na yeye yuko katika dilemma kwamba waingie au wasiingie. Moyo wake u radhi wasiingie lakini kazunguukwa na watu wanaotaka ubunge ile mbaya, hao ndo hawataki kusikia habari za kutoingia ktk uchaguzi
Time will tell.
Uchaguzi haupo, unaelewa maana yake?
Bandari haikuuzwa imekodishwa ili kuboresha maisha yenu, badala ya ule uchafu uliopo pale Dar es salaam sasa patajengwa na kuwa kitovu cha biashara, Mama amekuja na mpango mpya na namna mpya kuacha mazoea ili muneemeke sio kupiga hela tu kila ripoti inayokuja.
Uchaguzi upo ndugu Dr. Slaa hana mvuto wa kuzuia uchaguzi kwa yeye na mwabukusi na mdude, Katiba mpya sote tunaihitaji lakini hatuwezi kususia shamba la mahindi nguruwe atafyeka kila kitu
Baada ya kujumlisha moja na moja nikapata jibu sio mbili kama ilivyozoeleka, ndio maana nikaona afadhali niuachie muda uniletee majibu, kwasababu majibu ninayoyapata mimi mpaka sasa kuhusu hilo suala la kushiriki au kutoshiriki uchaguzi toka kwa hao jamaa, yananipasua kichwa.Matters cannot be surrendered to time, indefinitely:
View attachment 2797752
What and why are we here for?
Ttzo sio uchaguzi kutokuepo
Ttzo tanzania kua vyama vya upinzani zaidi ya 20 so ata chama kimoja tu cha upinzani kikiamua kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi maana yake uchaguzi utakuepo
Lakin pia chadema hana nguvu na uwezo wa kushawishi vyama vingne vya upinzani visishiliki uchaguzi kwaiyo haitosaidia
Uchaguzi utakuepo chadema watafte mbinu zingne ila iyo ishafeli kbla ata ya kuanza
Kla sku humu uwa tunaishauri chadema itafte mbinu zingne za kufanya siasa na km uwezo wao umekua mdogo wakutafta mbinu bas walipe makampuni pesa yaje yawasaidie kubuni njia mpya ya kufanya siasa Tz ila izi njia zao zishafeli na haziwezi leta matokea ata sku moja na ndo maana ata CCM sku izi imewazalau tena haioni tena km chadema ni mpinzani kwel
Vyama vy upinzani zaid ya 20 icho kimoja kikigoma uchaguzi utafanyika tuu labda km vitagoma vyote nani kitu ambacho hakiwezekan wala hakiwezekan
Mimi sina makundi najielewa, wewe baki na hayo makundiHaya si ya kwako ndugu?
Ninakazia:
1. Wanaotaka katiba mpya sasa.
2. Wasiotaka bandari kuuzwa sasa na hata milele.
Wako kundi moja na kina Slaa. Hilo ni kundi, siyo chama. Humo CCM na vibaraka wao hawamo.
Wewe uko kwenye hili kundi jingine?
Baada ya kujumlisha moja na moja nikapata jibu sio mbili kama ilivyozoeleka, ndio maana nikaona afadhali niuachie muda uniletee majibu, kwasababu majibu ninayoyapata mimi mpaka sasa kuhusu hilo suala la kushiriki au kutoshiriki uchaguzi toka kwa hao jamaa, yananipasua kichwa.
Hili siyo Jukwaa la UcheshiHaichekeshi.
Mimi sina makundi najielewa, wewe baki na hayo makundi
Sikuhizi tunamsikiliza Fr Kitima hawa wengine wachumia tumbo tu
Huyu jamaa si juzi alikuwa anazunguka na mkataba wa bandari mbona hamkususa mkisubiri katiba mpya asiwapotezee dira gombeeni mlale mema ya nchi kama wao
Hili siyo Jukwaa la Ucheshi
Chadema ni CHAMA tu kama Watoa Taarifa wengine
CCM ni CHAMA DOLA
Mwenezi wenu muuaji na mtekaji ameshaliongelea hili.Ukiwepo yeye Lisu atafanya nini?
Tukisema nchi hii hakuna wapinzani bali watoa taarifa tunakosea?
HUYO ameolewa huko Marekani akaendelee kubwabwaja kwa hao mabwana zake
Haya maneno uliyo-quote ni mawazo na hisia tu za MTU