Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Walikuwa wanashindana na nani? hapakuwa na uchaguzi zaidi ya maigizoWenzenu Waha wameshinda Ubunge Pemba 😀😀🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanashindana na nani? hapakuwa na uchaguzi zaidi ya maigizoWenzenu Waha wameshinda Ubunge Pemba 😀😀🔥
Chadema wamechelewa sana kufika maamuzi haya.
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Mtoa taarifaHIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Mwenezi yupo jikoni kutengeneza Dawa yao hawa binadamu.
Mtoa taarifa
Nobody is perfect. Everyone has got flaws but people learn and change. The guy is unstoppable, God’s purpose must prevail, hahaha goosebumps are inevitable.
Even if he does not change. What has that got to do with us? Please you can tell that to the birds.
Ukiwepo yeye Lisu atafanya nini?Atashiriki uchaguzi upi usiokuwapo?
Mtanzania mwenye haki zote.Yeye ni nani kwenye Taifa hili?
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Ngoja tuonee...HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Mkuu tubet Million, CHADEMA hawana uwezo wa kususia uchaguzi mkuu, wa serikali za mitaa wanaweza mana hauwaathiri kwenye ruzuku, ila uchaguzi mkuu, hata bila kubadili sheria za uchaguzi hawa jamaa wanashiriki tu lazima,mnafki zito kabwe kashasema ata shiriki uchaguzi. mbowe alivyo mtimua chadema alifanya la maana sana.
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!