Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Bila shaka ndiyo maana kuna wanaojifanya wafia chama wanachungulia uzi, kama wanatoa heshima za mwisho kwa mpendwa mwendazake.

Tindo, imhotep, Retired, WALOLA VUNZYA na wale wengine au nasema uongo ndugu zangu?
web-image-16.png

Vipi hapo kwenye nusu Mkate?
 
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:

View attachment 2797585

HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.

HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.

Kauli ya wengi ni kauli Mungu.

Aluta continua!
No fear No hate 😂 hivi iliishia wapi?
 
Nusu mkate inakuja na katiba sahihi. Kama ni kwa hisani ya mtu tu, ukipewa 1% utasema je?
Kama kule Zanzibar na kule Wananchi wao na zile Vurugu za Uchaguzi ndio zimesababisha.

Huku Tanganyika Wananchi wamepoa sana.
 
Haya maneno uliyo-quote ni mawazo na hisia tu za MTU

Mkuu mawazo na hisia za watu yaliyojengwa kutokea kwenye sababu za msingi hayawezi kupuuzwa kama maneno ya bashite tu.

Si waswahili wanasema, dalili ya mvua ni mawingu?
 
Kama kule Zanzibar na kule Wananchi wao na zile Vurugu za Uchaguzi ndio zimesababisha.

Huku Tanganyika Wananchi wamepoa sana.

Nani anaweza kujiondoa kwenye kupoa Ili anyooshewe kidole Huyo aliyepoa?

IMG_20220927_190940_421.jpg

Kwani wale chawa umewasikia? Wanasubiri kujua upepo unakoelekea siyo?

Wajumbe kama hao ni mzigo na bila kuwachana live haisaidii.
 
Lussu kastuka mapema, anajuwa wakiingia kwenye uchaguzi hawana chao.

Hata mgombea wao hawajui atakuwa nani. Anajijuwa uwa yeye hawezi kugombea tena, sasa anatafuta pakutokea.
Uwezo wa ccm kuwashinda cdm kihalali hilo limeshashindikana, kilichobaki ni hujuma dhidi yao. Anachofanya Lisu ni kugoma kuendelea kushiriki kwenye hizi chaguzi za kihayawani maana anajua kinachotangazwa sio ukweli ulio kwenye box la kura. Mtu mjinga tu au anayefaidika na chaguzi hizi za kihuni ndio anaweza kuzishabikia, au kuendelea kushiriki kwa mazingira haya.

Kwa taarifa yako, hata hao cdm ama vyama vyote viambu kushiriki hizo chaguzi za kishenzi, wananchi wengi hawataendelea kujitokeza kupiga kura maana wameshazidharau chaguzi hizo. Ni ama ipatikane tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, machafuko au mapinduzi ya kijeshi, hapo huenda heshima ya box la kura ikarejea.
 
Nani anaweza kujiondoa kwenye kupoa Ili anyooshewe kidole Huyo aliyepoa?

View attachment 2797800

Kwani wale chawa umewasikia? Wanasubiri kujua upepo unakoelekea siyo?

Wajumbe kama hao ni mzigo na bila kuwachana live haisaidii.
Sasa hivi kila kijiwe ninachopita Watanganyika wako Bize na mabishano ya Vita ya Israeli na Hamas
 
Huu ndio uwe msimamo thabiti wa kila Mzalendo hii nchi sio yao CCM manina zao. Watu Milioni 60 tunaburuzwa na wahuni wachache.

Ninakazia:

"Huu ndio uwe msimamo thabiti wa kila Mzalendo."

Hata huko CCM wazalendo wapo. Bila kusau hata huku kwingine wasiokuwa wazalendo nao wapo.
 
Raisi Samia na Serikali yake waliapa kuilinda katiba iliyopo, hawakuapa kuandika katiba mpya. Tustishane.
Angeapa kuilinda katiba asingekuwa anaivunja! Mara kadhaa amevunja katiba iliyopa na vyombo vyote vya dola vimeufyata hivyo katiba mpya ni muhimu!
 
Hili siyo Jukwaa la Ucheshi

Chadema ni CHAMA tu kama Watoa Taarifa wengine

CCM ni CHAMA DOLA
Na kweli inabidi ccm kiendelee kuwa chama dola maana hakina uwezo tena wa kubaki madarakani kwa ushawishi wa kisiasa.
 
Sasa hivi kila kijiwe ninachopita Watanganyika wako Bize na mabishano ya Vita ya Israeli na Hamas

Dalili kubwa za kutotaka kuwajibika ni hii ya kupenda kulaumu wengine. Hii ni lazima tuipige vita kwa nguvu zote.

Ukombozi hauhitaji watu wote. Tuliopo tunatosha sana. Kulikoni kuwakomalia wengine wasioona umuhimu?

Kwani wewe unataka uwe uko wapi wakati wa ukombozi?
 
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:

View attachment 2797585

HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.

HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.

Kauli ya wengi ni kauli Mungu.

Aluta continua!
VICHEKESHO HIVI HAVINA TOFAUTI NA HEKAYA ZA ABUNUASI
 
Tangu Chadema ilipowasaliti Sauti Ya Watanzania...
Hii kauli Ya Tundu Lissu haina nguvu wala uhalali kitaifa!
 
Tangu Chadema ilipowasaliti Sauti Ya Watanzania...
Hii kauli Ya Tundu Lissu haina nguvu wala uhalali kitaifa!

Kama nakuona ndugu:

IMG_20211016_132442_593.jpg

Subiri huko huko nje hali si shwari.
 
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:

View attachment 2797585

HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.

HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.

Kauli ya wengi ni kauli Mungu.

Aluta continua!
Niko palee nisubiri kuoana Kama uchaguzi hautafanyika.

Chadema tutawashukuru mno mkisusa ,hakikisheni mnasusa tuone kama tukila hatutashiba.
 
Back
Top Bottom