Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi kwa katiba hii bora ccm wajitangaze washindi kuliko kutumia kodi zetu na kuongeza deni la taifa
 
Kila msimu wa uchaguzi huwa yanasemwa haya haya lakini nchi hii haijawahi kukosa uchaguzi!
 
Hawa watakula virungu hadi wasagau walikotoka, na bahati nzuri au mbaya hakuna mwenye muda wa hayo maandamano labda kama watakuwa wenyewe waliyoyaanda na wake/waume zao!

Hata Kenya na nchi nyingi tu za Kiafrika zina katiba mpya lakini maendeleo ni sifuri bara zima la Africa!
 
Hawa watakula virungu hadi wasagau walikotoka, na bahati nzuri au mbaya hakuna mwenye muda wa hayo maandamano labda kama watakuwa wenyewe waliyoyaanda na wake/waume zao!

Virungu? Watu hawaogopi risasi!
 
Attachments

  • F-Ay3s_WUAAKYKi.jpeg
    58.5 KB · Views: 1
Sema Cdm haitoshiriki LAKINI uchaguzi utakuwepo kivyovyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…