Lissu: Hakuna Kosa La kuzuia Uchaguzi na Wala Kukinukisha, Tusitishane

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
"Ni kwamba hakuna kutishana na vilevile hakuna kosa la kuzuia uchaguzi hata wasemeje, halipo wala la kuvuruga uchaguzi halipo kwa sheria za Tanzania wala la kukinukisha halipo hata wasemeje sio makosa tusibabaishane na tusitishane"

Maneno ya Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mara baada ya kuahirishwa kwa shauri la uhaini linalomkabili kwenye Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.

Kesi hiyo iliendelea hii leo kwa hatua ya ushahidi ambapo, shahidi wa tano upande wa utetezi John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara aliendelea kuulizwa maswali ya Dodoso (Cross examination) na mawakili wa upande wa Jamhuri wakiongozwa na wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga.
Shauri hilo litaendelea tena kesho tarehe 15 Septemba 2026, kwa Heche kuendelea kuulizwa maswali ya dodoso kabla ya kwenda hatua inayofuata.chanzo Mwanahalisi

Comrade, unaposema "tunapoteza tu muda kwa huyu mtu" unamaanisha nini?..
Namaanisha tunapoteza muda na rasilimali fedha...

Umewahi kukutana na Mtu' aliyewahi kukoswa au kutendwa na vitu au maisha?

Psychologically ukikutana na mtu wa namna hiyo mara nyingi anasubiri wewe ndio uamue unachokitaka na atataka ufanye vyovyote unavyotaka wewe haijalishi utaamua unavyotaka.

At the end, kwasababu yeye anakuwa ile hofu ya maumivu na changamoto inakuwa inashuka, wakati huo wewe ndiye unayeanza kuumizwa na matendo yake.

Endurance: Shackleton's Incredible Voyage
Book by Alfred Lansing
 
Nimekupata vizuri mkuu,

Lakini swali langu ni moja tu, hivi kweli Serikali au basi tuseme Jamhuri haina watu/wazee wenye hekima washauri wakubwa waachane na hii kesi inayotupotezea fedha, muda na isiyo na mantiki kabisa?
 
Hivi umewahi kulea mtoto mtukutu?

Nature ya watoto watukutu huamini wapo sahihi kwa asilimia zote, inawezekana pia mtoto huyo huyo akaamini upo sahihi kwa asilimia zote pia.

Sasa, utachagua uendelee kumuadhibu? Au umuache na kisha uanze kumbadili miondoko na mienendo yake?

Nafikiri, maisha ni kupanga na kuchagua pia.

Ila🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔 Ila🤔🤔🤔🤔🤔🤔 Ila 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 ipo mifano ya kwenye maandiko na iko mifano ya uhalisia pia 🤔🤔🤔🤔 Ila 🤔🤔🤔🤔🤔 Ila

Mungu anaweza kukupa maisha marefu kisha ukashuhudia maumivu makali Yale Yale uliyoyatenda kwa wenzio ndio hayo hayo au zaidi ambayo hukuwahi kuyategemea kuyapata katika umri wako 🤝

Naomba ninukuu maneno ya Hayati

"Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu, jitahidini kuacha hadithi nzuri": Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya Pili
 
"Ni kwamba hakuna kutishana na vilevile hakuna kosa la kuzuia uchaguzi hata wasemeje, halipo wala la kuvuruga uchaguzi halipo kwa sheria za Tanzania wala la kukinukisha halipo hata wasemeje sio makosa tusibabaishane na tusitishane"

Maneno ya Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mara baada ya kuahirishwa kwa shauri la uhaini linalomkabili kwenye Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.

Kesi hiyo iliendelea hii leo kwa hatua ya ushahidi ambapo, shahidi wa tano upande wa utetezi John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara aliendelea kuulizwa maswali ya Dodoso (Cross examination) na mawakili wa upande wa Jamhuri wakiongozwa na wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga.
Shauri hilo litaendelea tena kesho tarehe 15 Septemba 2026, kwa Heche kuendelea kuulizwa maswali ya dodoso kabla ya kwenda hatua inayofuata.chanzo Mwanahalisi

Jamaa ameichambua Katiba ya TZ na Sheria zote ikiwemo Penal Code Act na Sheria za Kanuni za Uchaguzi amethibitisha Hilo.
 
Nimekupata vizuri mkuu,

Lakini swali langu ni moja tu, hivi kweli Serikali au basi tuseme Jamhuri haina watu/wazee wenye hekima washauri wakubwa waachane na hii kesi inayotupotezea fedha, muda na isiyo na mantiki kabisa?
Mimi kama mzee uliyeomba atafutwe, nasema huyo serikali isimwachie Bali nayo imfanyie ujeuri kuzidi huu wake. Kwakuwa yeye anataka sifa za mitandao aonekane kiburi na mshenzi basi na serikali imuonyeshe kuwa Ina watu wa namna zote; hata wa kumuoa aonyeshwe kuwa wapo.......asijimalize sana kwani ni mshamba tu flani.
 
Aache utani tafsiri ya Mwanasheria wa serikali haitoshi alitaka kikinukisha kwa kuleta vita

images.jpg
 
Mimi kama mzee uliyeomba atafutwe, nasema huyo serikali isimwachie Bali nayo imfanyie ujeuri kuzidi huu wake. Kwakuwa yeye anataka sifa za mitandao aonekane kiburi na mshenzi basi na serikali imuonyeshe kuwa Ina watu wa namna zote; hata wa kumuoa aonyeshwe kuwa wapo.......asijimalize sana kwani ni mshamba tu flani.
Ila mkuu, unaonekana una roho mbaya sana....Mungu akusamehe tu
 
"Ni kwamba hakuna kutishana na vilevile hakuna kosa la kuzuia uchaguzi hata wasemeje, halipo wala la kuvuruga uchaguzi halipo kwa sheria za Tanzania wala la kukinukisha halipo hata wasemeje sio makosa tusibabaishane na tusitishane"

Maneno ya Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mara baada ya kuahirishwa kwa shauri la uhaini linalomkabili kwenye Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.

Kesi hiyo iliendelea hii leo kwa hatua ya ushahidi ambapo, shahidi wa tano upande wa utetezi John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara aliendelea kuulizwa maswali ya Dodoso (Cross examination) na mawakili wa upande wa Jamhuri wakiongozwa na wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga.
Shauri hilo litaendelea tena kesho tarehe 15 Septemba 2026, kwa Heche kuendelea kuulizwa maswali ya dodoso kabla ya kwenda hatua inayofuata.chanzo Mwanahalisi

kwamba katishika au?

au ni ngori tayari?:pedroP:
 
Mimi kama mzee uliyeomba atafutwe, nasema huyo serikali isimwachie Bali nayo imfanyie ujeuri kuzidi huu wake. Kwakuwa yeye anataka sifa za mitandao aonekane kiburi na mshenzi basi na serikali imuonyeshe kuwa Ina watu wa namna zote; hata wa kumuoa aonyeshwe kuwa wapo.......asijimalize sana kwani ni mshamba tu flani.
Mshamba ni wewe na huyo mwanamke mwenzako wa kizimkazi anayewapigisha magoti wakina mwigulu na chalamila
 
Back
Top Bottom