Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
NonsenseKaribu liwale uone mapambano yangu bwege we. Fika hapa mgahawani kwa samoma Kisha ulizia dukani kwa kazumari.....utanikuta au kupata maelezo huko.
NonsenseKaribu liwale uone mapambano yangu bwege we. Fika hapa mgahawani kwa samoma Kisha ulizia dukani kwa kazumari.....utanikuta au kupata maelezo huko.
Haya maneno ya Tundu Lissu ni dhahiri."Ni kwamba
"Ni kwamba hakuna kutishana na vilevile hakuna kosa la kuzuia uchaguzi hata wasemeje, halipo wala la kuvuruga uchaguzi halipo kwa sheria za Tanzania wala la kukinukisha halipo hata wasemeje sio makosa tusibabaishane na tusitishane"
Maneno ya Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mara baada ya kuahirishwa kwa shauri la uhaini linalomkabili kwenye Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Kesi hiyo iliendelea hii leo kwa hatua ya ushahidi ambapo, shahidi wa tano upande wa utetezi John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara aliendelea kuulizwa maswali ya Dodoso (Cross examination) na mawakili wa upande wa Jamhuri wakiongozwa na wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga.
Shauri hilo litaendelea tena kesho tarehe 15 Septemba 2026, kwa Heche kuendelea kuulizwa maswali ya dodoso kabla ya kwenda hatua inayofuata.chanzo Mwanahalisi
hujaligonga IGNORE hilo jamaa kwanini. unasubiri nini. Nenda kwenye profile yake tafuta penye neno "ignore" pagonge mara mojaLissu ni mshamba we jamaa kweli wewe Dr wa manesi
Kwakuwa mkeo ananifuatilia na tuna mahusiano mazuri, mshamba wewe ignore kwa mara ya nne, km hiyo mara Moja haitoshihujaligonga IGNORE hilo jamaa kwanini. unasubiri nini. Nenda kwenye profile yake tafuta penye neno "ignore" pagonge mara moja
Mshamba mmoja wewe mwenye exposure 0 ndio wakumnanga TAL humu. Humfikii kwa intelligent, reputation, mafanikio na exposure we baki huko huko Liwale.Karibu liwale uone mapambano yangu bwege we. Fika hapa mgahawani kwa samoma Kisha ulizia dukani kwa kazumari.....utanikuta au kupata maelezo huko.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mshamba mmoja wewe mwenye exposure 0 ndio wakumnanga TAL humu. Humfikii kwa intelligent, reputation, mafanikio na exposure we baki huko huko Liwale.
Nije nikuulizie kwamba una nini? unamiliki Mall au kiwanda cha saruji?
Takataka, dekio la kudeki machafu ya watawala kwa ujira wa buku 7.
If wishes were horses….!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo lissu wa maana kwako tu, wengine sie tunamuona shoga tu. Karibu liwale. Halafu Dunia siku Hz ni Kijiji lofa mmoja we, unaweza ukaoshi popote na ukafika popote duniani. Nipo liwale lkn nchi kama china, Korea ukatembelea bwege we
Utakuja kumuhoji na hizo gari??Aache utani tafsiri ya Mwanasheria wa serikali haitoshi alitaka kukinukisha kwa kuleta vita - Nitakuja maakamani kumuhoji
View attachment 3670597
Baki hivyo hivyo na ujinga waoIf wishes were horses….!
Amka kimada wa buduli.