baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Yaani Lissu alieko kwenye kuta za gereza akikabiliwa na kitisho cha kunyongwa, ndio anawapa ujasiri watu walio huru kuendelea kupambana na sio yeye anaekabiliwa na tishio la kunyongwa kupewa moyo
This guy was born for special reason
Huyu nafaikiri walimtumia watu wa kumtishia kuhusu hukumu yake ya kunyongwa hapo ni kama anawajibu kumbuka msiwe mnakuja gerezani usiku na msinitishe utaelewa