Lissu: Hakuna Kosa La kuzuia Uchaguzi na Wala Kukinukisha, Tusitishane

Lissu: Hakuna Kosa La kuzuia Uchaguzi na Wala Kukinukisha, Tusitishane

Aache utani tafsiri ya Mwanasheria wa serikali haitoshi alitaka kuvuruga uchaguzi kwa kuleta vita - Nitakuja maakamani kumuhoji

01967d00-9b97-11ed-8caa-69b4e6848359.jpg (1).webp
 
Aache utani tafsiri ya Mwanasheria wa serikali haitoshi alitaka kuzuia uchaguzi kwa kuleta vita - Nitakuja mahakamani kumuhoji

_96257868_armatatankt14afp9may17.jpg.webp
 
Aache utani tafsiri ya Mwanasheria wa serikali haitoshi alitaka Kukinukisha kwa kuleta vita - Nitakuja mahakamani kumuhoji

a59c6d30-a5d6-11ed-8f65-71bfa0525ce3.jpg (1).webp
 
Aache utani tafsiri ya Mwanasheria wa serikali haitoshi alitaka kuvuruga uchaguzi kwa kuleta vita - Nitakuja mahakamani kumuhoji

01967d00-9b97-11ed-8caa-69b4e6848359.jpg (1).webp
 
Mimi kama mzee uliyeomba atafutwe, nasema huyo serikali isimwachie Bali nayo imfanyie ujeuri kuzidi huu wake.
Mwenzenu jeuri yake Iko supported na sheria, yaani "hoja zake za kijeuri" zinaungwa mkono na sheria kwa sbb;
1. Ni kweli kwa mujibu wa sheria zetu zote za Tanzania, hakuna kosa linaitwa "kukinukisha..!!"

2. Ni kweli kuwa, kwa mujibu wa sheria za Tanzania, hakuna kosa linaitwa "kuzuia uchaguzi.."

3. Vivyo hivyo kwa mujibu wa sheria zote za Tanzania hakuna kosa linaloitwa " uasi au kuasi"

Kwakuwa yeye anataka sifa za mitandao aonekane kiburi na mshenzi basi na serikali imuonyeshe kuwa Ina watu wa namna zote; hata wa kumuoa aonyeshwe kuwa wapo.......asijimalize sana kwani ni mshamba tu flani.
1. Mshamba na mshenzi ni wewe unayetaka kufanya au kumkomoa mtu nje ya utaratibu wa kisheria..

2. La mna ubavu wa kumfanyia jeuri kukomesha jeuri yake, thibitisheni makosa yake kwa mujibu wa sheria. Semeni;
--Kukinukisha ni kosa kwa mujibu wa kifungu hiki au kile cha sheria hii au ile ..

--Uasi au kuasi (kwa maana ya kuzipinga sheria kandamizi, zisizo haki) ni makosa kwa mujibu wa kifungu hiki au kile cha sheria hii au ile...

--Kuzuia uchaguzi ni kosa kwa mujibu wa kifungu hiki au kile cha sheria hii au ile..

#Kung'aka hovyo tu kwa kuwa mawakili na waandaa kesi wenu za mchongo wamezidiwa ujanja kwa sbb ya ujinga wao wa kisheria sio ustaarabu bali ni ujinga na ni upumbavu..

#Mahakama inaamua mashauri kwa mujibu wa sheria na ushahidi unaoletwa mbele yake. Haitaamua kwa sababu eti mjinga mmoja anayeitwa Dr wa Manesi na wenzake hawataki mbaya wao aseme anayojua hadharani kwa kuwa si kosa kisheria!!

#Mimi naomba nikukate maini kabisa, na nikukatishe tamaa Moja kwa moja kwa kukuambia kuwa, kesi imeshaisha TUNDU LISSU hana hatia. Nenda kajinyonge wewe!!
 
Mwenzenu jeuri yake Iko supported na sheria, yaani "hoja zake za kijeuri" zinaungwa mkono na sheria kwa sbb;
1. Ni kweli kwa mujibu wa sheria zetu zote za Tanzania, hakuna kosa linaitwa "kukinukisha..!!"

2. Ni kweli kuwa, kwa mujibu wa sheria za Tanzania, hakuna kosa linaitwa "kuzuia uchaguzi.."

3. Vivyo hivyo kwa mujibu wa sheria zote za Tanzania hakuna kosa linaloitwa " uasi au kuasi"

1. Mshamba na mshenzi ni wewe unayetaka kufanya au kumkomoa mtu nje ya utaratibu wa kisheria..

2. La mna ubavu wa kumfanyia jeuri kukomesha jeuri yake, thibitisheni makosa yake kwa mujibu wa sheria. Semeni;
--Kukinukisha ni kosa kwa mujibu wa kifungu hiki au kile cha sheria hii au ile ..

--Uasi au kuasi (kwa maana ya kuzipinga sheria kandamizi, zisizo haki) ni makosa kwa mujibu wa kifungu hiki au kile cha sheria hii au ile...

--Kuzuia uchaguzi ni kosa kwa mujibu wa kifungu hiki au kile cha sheria hii au ile..

#Kung'aka hovyo tu kwa kuwa mawakili na waandaa kesi wenu za mchongo wamezidiwa ujanja kwa sbb ya ujinga wao wa kisheria sio ustaarabu bali ni ujinga na ni upumbavu..

#Mahakama inaamua mashauri kwa mujibu wa sheria na ushahidi unaoletwa mbele yake. Haitaamua kwa sababu eti mjinga mmoja anayeitwa Dr wa Manesi na wenzake hawataki mbaya wao aseme anayojua hadharani kwa kuwa si kosa kisheria!!

#Mimi naomba nikukate maini kabisa, na nikukatishe tamaa Moja kwa moja kwa kukuambia kuwa, kesi imeshaisha TUNDU LISSU hana hatia. Nenda kajinyonge wewe!!
Hujielewi wewe, serikali ni zaidi ya Sheria nyambafu wewe......kagame, jpm wanajua hilo ndo maana tunasifu maendeleo katika vipindi vyao.
 
Ila mkuu, unaonekana una roho mbaya sana....Mungu akusamehe tu
Hata kidogo mkuu. Haisaidii kusema tunayoyafanya watu humu lakini elewa tu kwamba jamii niishi nayo hapa kijijini inanifurahia saaana.Tatizo langu, au niseme ulemavu wangu mkubwa ni kuwa simpendi Wala siwezi kabisa kumvumilia mtu anayependa sifa......hapo tu ndipo unaposhindwa kunielewa na kunitafsiri vibaya.
 
Hata kidogo mkuu. Haisaidii kusema tunayoyafanya watu humu lakini elewa tu kwamba jamii inanifurahia saaana. Tatizo langu, au niseme ulemavu wangu mkubwa ni kuwa simpendi Wala siwezi kabisa kumvumilia mtu anayependa sifa......hapo tu ndipo unaposhindwa kujielewa na kunitafsiri vibaya.
Una roho mbaya sana Comrade, ...
wewe na chama chako mna roho mbaya sana......ni wakatili sana,...mmejaa damu za Watanganyika
Pumbavu zenu,
 
Una roho mbaya sana Comrade, ...
wewe na chama chako mna roho mbaya sana......ni wakatili sana,...mmejaa damu za Watanganyika
Pumbavu zenu,
Umekula mkuu?!! Na kama jibu ni ndiyo, vipi umepata maji ya kunywa?!!
 
Hujielewi wewe, serikali ni zaidi ya Sheria nyambafu wewe......kagame, jpm wanajua hilo ndo maana tunasifu maendeleo katika vipindi vyao.
Ooh, kumbe ulikuwa na maana ya ifanye jeuri kinyume cha sheria kwa kuwa "serikali ni zaidi ya sheria?", au siyo..?

If that's the case, kwa hakika kabisa Mimi kwenye hili sijielewi kwa sbb huwa sijielewagi kwenye ujinga na upumbavu..!

Lakini nikuambie kitu?

Wewe ndiye hasa nyambafu na mjinga kwa sababu obviously, hujui hata maana ya "serikali" na hujui hata hiyo serikali inatoa wapi mamlaka na nguvu zake...!

Rudi darasani kasome maana ya "serikali halali" ni kitu gani na inapatikanaje..

Sio huu utopolo chini ya Samia wanaojiita serikali wakati ni uharamu na wauaji tu..

Na nakuhakikishia jambo, your end is now not tomorrow..

Ndipo utakapojua kumbe, serikali ni chombo cha umma na huja na kupita..

Tunailinda nchi na taifa letu dhidi ya uovu na waovu kama serikali haramu chini ya CCM ya Samia Suluhu Hassan..
 
Kafundishe watoto wako Sheria zako za kigasho. Yupo mahakamani sababu ya Sheria na serikali isingetaka Sheria basi wangemfirimba huko huko songea walikomkamatia. Nachozungumza hapa ni heshima kwa serikali na vyombo vyake. Na nikatoa angalizo kuwa kwa serikali, ukijifanya unajua hivi basi yenyewe unajua vileee..... mpumbavu we!!!

Halafu unalalamika sana kuhusu mauaji, vp Samia amekuulia mumeo?!!
 
Hujielewi wewe, serikali ni zaidi ya Sheria nyambafu wewe......kagame, jpm wanajua hilo ndo maana tunasifu maendeleo katika vipindi vyao.
Serikali ipo kwa mujibu wa sheria inakuaje zaidi ya sheria? Watu m60+ wanapoitii serikali si sababu ina nguvu kuliko watu m60+ ni kwasababu ya makibaliano ya utii wa sheria.
 
Kuzuia uchaguzi haramu ambao unajua kabisa hauna haki ni jambo jema kabisa.

Unaendaje kushiriki uchaguzi ambao refarii /makamisaa [mkurugenzi, mwenyekiti , wajumbe wa tume] wana hisa na uaminifu [ wateule wa mwenyekiti wa CCM] ambaye nae timu yake huyo mwenye hisa nyingi [ mgombea ] nayo inashiriki ligi [uchaguzi] ujinga kama huu unaukuta kwenye nchi za hovyo na kwa mtindo huu ni ngumu kuzuia machafuko kwani tangu 1995 ni mwaka gani uchaguzi haujawahi kuwa na vurugu?

Je ni kwamba hatujifunzi na kujisahihisha kwamba baada ya miaka 30 kila uchaguzi lazima vurugu ziwepo?

Ni nchi ngapi kwa waliowahi kutembea watakubaliana na mimi siku ya uchaguzi sio siku ya kuona polisi wengi na mabunduki barabarani bali unaona watu wakielekea kupiga kura na kurudi majumbani?

Hii ni video ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, najua wengi hawajawahi kuiona au hawana ila unaona kabisa kilichofanyika 1995 miaka 31 iliyopita kilikuja kufanyika tena mwaka jana na bado watu wamefukia vichwa kwenye mchanga wakimdanganya mwenyekiti wa CCM mambo ni shwari na watanzania walimpigia kura milioni 32

Je hatujifunzi, hatujisahihishi hadi tumerudi nyuma au tunataka kusonga mbele, tunadanganya maridhiano ndio tiba je wanaridhiana nani na nani wakati chanzo cha vurugu ni kukosekana mazingira ya usawa na haki kwenye chaguzi .?

Kwenye video ya 1995 tunaona kilio cha FREE AND FAIR election kimeendelea hata miaka 30 mbele , napo mnasema hamuoni tatizo na eti mnaona Lissu ndio tatizo?

Naunga mkono kuzuia uchaguzi huu wa kishenzi kwa miaka mingine ijayo kama mazingira ya haki hayatokuwepo kwenye uchaguzi.

Huyu inaonekana walianza kumtumia watu kumtisha na Ukumu nawaza
 
Back
Top Bottom