Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Comrade, unaposema "tunapoteza tu muda kwa huyu mtu" unamaanisha nini?..Huyu mtu inaonekana hana cha kupoteza... nafikiri tunapoteza tu' muda kwa huyu mtu
Namaanisha tunapoteza muda na rasilimali fedha...Comrade, unaposema "tunapoteza tu muda kwa huyu mtu" unamaanisha nini?..
Nimekupata vizuri mkuu,Namaanisha tunapoteza muda na rasilimali fedha...
Umewahi kukutana na Mtu' aliyewahi kukoswa au kutendwa na vitu au maisha?
Psychologically ukikutana na mtu wa namna hiyo mara nyingi anasubiri wewe ndio uamue unachokitaka na atataka ufanye vyovyote unavyotaka wewe haijalishi utaamua unavyotaka.
At the end, kwasababu yeye anakuwa ile hofu ya maumivu na changamoto inakuwa inashuka, wakati huo wewe ndiye unayeanza kuumizwa na matendo yake.
Endurance: Shackleton's Incredible Voyage
Book by Alfred Lansing
Hivi umewahi kulea mtoto mtukutu?Nimekupata vizuri mkuu,
Lakini swali langu ni moja tu, hivi kweli Serikali au basi tuseme Jamhuri haina watu/wazee wenye hekima washauri wakubwa waachane na hii kesi inayotupotezea fedha, muda na isiyo na mantiki kabisa?
Jamaa ameichambua Katiba ya TZ na Sheria zote ikiwemo Penal Code Act na Sheria za Kanuni za Uchaguzi amethibitisha Hilo."Ni kwamba hakuna kutishana na vilevile hakuna kosa la kuzuia uchaguzi hata wasemeje, halipo wala la kuvuruga uchaguzi halipo kwa sheria za Tanzania wala la kukinukisha halipo hata wasemeje sio makosa tusibabaishane na tusitishane"
Maneno ya Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mara baada ya kuahirishwa kwa shauri la uhaini linalomkabili kwenye Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Kesi hiyo iliendelea hii leo kwa hatua ya ushahidi ambapo, shahidi wa tano upande wa utetezi John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara aliendelea kuulizwa maswali ya Dodoso (Cross examination) na mawakili wa upande wa Jamhuri wakiongozwa na wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga.
Shauri hilo litaendelea tena kesho tarehe 15 Septemba 2026, kwa Heche kuendelea kuulizwa maswali ya dodoso kabla ya kwenda hatua inayofuata.chanzo Mwanahalisi
😆😆Eti MtumeMtume wa Mungu huyu kwa watanzania
Mimi kama mzee uliyeomba atafutwe, nasema huyo serikali isimwachie Bali nayo imfanyie ujeuri kuzidi huu wake. Kwakuwa yeye anataka sifa za mitandao aonekane kiburi na mshenzi basi na serikali imuonyeshe kuwa Ina watu wa namna zote; hata wa kumuoa aonyeshwe kuwa wapo.......asijimalize sana kwani ni mshamba tu flani.Nimekupata vizuri mkuu,
Lakini swali langu ni moja tu, hivi kweli Serikali au basi tuseme Jamhuri haina watu/wazee wenye hekima washauri wakubwa waachane na hii kesi inayotupotezea fedha, muda na isiyo na mantiki kabisa?
Ila mkuu, unaonekana una roho mbaya sana....Mungu akusamehe tuMimi kama mzee uliyeomba atafutwe, nasema huyo serikali isimwachie Bali nayo imfanyie ujeuri kuzidi huu wake. Kwakuwa yeye anataka sifa za mitandao aonekane kiburi na mshenzi basi na serikali imuonyeshe kuwa Ina watu wa namna zote; hata wa kumuoa aonyeshwe kuwa wapo.......asijimalize sana kwani ni mshamba tu flani.
kwamba katishika au?"Ni kwamba hakuna kutishana na vilevile hakuna kosa la kuzuia uchaguzi hata wasemeje, halipo wala la kuvuruga uchaguzi halipo kwa sheria za Tanzania wala la kukinukisha halipo hata wasemeje sio makosa tusibabaishane na tusitishane"
Maneno ya Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mara baada ya kuahirishwa kwa shauri la uhaini linalomkabili kwenye Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Kesi hiyo iliendelea hii leo kwa hatua ya ushahidi ambapo, shahidi wa tano upande wa utetezi John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara aliendelea kuulizwa maswali ya Dodoso (Cross examination) na mawakili wa upande wa Jamhuri wakiongozwa na wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga.
Shauri hilo litaendelea tena kesho tarehe 15 Septemba 2026, kwa Heche kuendelea kuulizwa maswali ya dodoso kabla ya kwenda hatua inayofuata.chanzo Mwanahalisi
Mshamba ni wewe na huyo mwanamke mwenzako wa kizimkazi anayewapigisha magoti wakina mwigulu na chalamilaMimi kama mzee uliyeomba atafutwe, nasema huyo serikali isimwachie Bali nayo imfanyie ujeuri kuzidi huu wake. Kwakuwa yeye anataka sifa za mitandao aonekane kiburi na mshenzi basi na serikali imuonyeshe kuwa Ina watu wa namna zote; hata wa kumuoa aonyeshwe kuwa wapo.......asijimalize sana kwani ni mshamba tu flani.