Lissu: Hakuna Kosa La kuzuia Uchaguzi na Wala Kukinukisha, Tusitishane

"Ni kwamba
Haya maneno ya Tundu Lissu ni dhahiri.
Lakini nimetatizwa na yale ya "MUCUS" kule chini kabisa.

How do you "eliminate mucus", in the first place which is part and parcel of body composition and is there to perform a given essential physiological function!

You eliminate mucus by whichever method you can think of, you die!
 


“Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba."
— Mithali 28:1 (Biblia Takatifu)

sio simba timu lakini. tusichanganyane
 
hujaligonga IGNORE hilo jamaa kwanini. unasubiri nini. Nenda kwenye profile yake tafuta penye neno "ignore" pagonge mara moja
Kwakuwa mkeo ananifuatilia na tuna mahusiano mazuri, mshamba wewe ignore kwa mara ya nne, km hiyo mara Moja haitoshi
 
Karibu liwale uone mapambano yangu bwege we. Fika hapa mgahawani kwa samoma Kisha ulizia dukani kwa kazumari.....utanikuta au kupata maelezo huko.
Mshamba mmoja wewe mwenye exposure 0 ndio wakumnanga TAL humu. Humfikii kwa intelligent, reputation, mafanikio na exposure we baki huko huko Liwale.

Nije nikuulizie kwamba una nini? unamiliki Mall au kiwanda cha saruji?

Takataka, dekio la kudeki machafu ya watawala kwa ujira wa buku 7.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo lissu wa maana kwako tu, wengine sie tunamuona shoga tu. Karibu liwale. Halafu Dunia siku Hz ni Kijiji lofa mmoja we, unaweza ukaoshi popote na ukafika popote duniani. Nipo liwale lkn nchi kama china, Korea ukatembelea bwege we
 
If wishes were horses….!

Amka kimada wa buduli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…