Lissu hamtendei haki Aidan

Lissu hamtendei haki Aidan

Lisu anq matatizo makubwa,ila yanafichwa na ujasiri na elimu,pia sioni shida kusema ana wivu na ubingwa wa malalamiko.Ushahidi ni zaidi ya maneno elifu moja,alisema Mbowe alipewa magari na Chama dume,kumbe kanunua kwa mabalozi.Hela za mama Abdul alizozusha ziko wapi au walizikamata baada ya uchaguzi.Huyu ndugu iko shida!!
Nenda shule kwanza upunguze ujinga.
 
Wewe ukiwa na akili zako timamu unaamini kabisa mgombea pekee aliyeshinda ubunge kwa CHADEMA ni Aida?

Hili hata wana CCM wengi hawaamini hivyo!
 
Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una maanisha kuwa Aida hakushinda uchaguzi bali CCM walifanya figisu figisu na kumpa kura za ushindi.

Anashindwa kukubali kuwa Aida alishinda kihalali na akatangazwa. Swali analoweza kuuliza ni kwa nini CCM walimtangaza yeye tu? Inawezekana Aida alijipanga vizuri yeye na wapiga kura wake kiasi cha CCM kushindwa kudhulumu.

Inawezekana CCM waliisha mchoka mshindani wake na kuona bora aondoke. Na Inawezekana msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake alikuwa mtenda haki na nafsi yake ilimzuia kufanya dhulma. Badala ya kulirudia rudia, yeye na wenzake wangekaa nae na kumuomba awaeleze alifanikiwa vipi. Huyu dada ni mpiganaji na ni mfano wa kuigwa.

Lissu pia alisema kuwa huo msimamo wake haukueleweka vizuri ndio maana watu wakamrushia madongo. Alisema haukuwa personal bali ukweli unabidi kusemwa. Hapo tena amejaribu kujikosha. Watu walimrushia madongo kwa kikubwa kutokana na yeye kudai kuwa Aida hachangii lolote. Hilo ndio liliwakera watu maana mchango wa Aida wote tuna uona. Na wenzake wanaouona ndio maana wakampa ngao.
Lissu anapaswa kukiri kuwa alikosea na amuombe radhi.

Amandla...
Lissu anaropoka tu hivyo kuna mengine inakuwa time za kumeza dawa zimepita!
 
Hata hiyo haijakaa sawa. Hisani kwa nani? Kwa Aida au kwa CDM? Kama ni kwa Aida basi ni kwa sababu walitaka kumsaidia. Kama ni kwa CDM, kwa nini hailaumu CDM. Pale alipoongeza kuwa Aida hajafanya lolote toka aingie Bungeni ilionyesha kuwa hii ishu ni personal tofauti na anavyodai.

Aida alisimamia uchaguzi ambao mtu ambae hakumtaka alishinda. Na walipotaka kuleta uongo wa kuwa Suzan anataka kura zake apewe mtu aliyemtaka, Aida na Suzan wakauzima haraka sana. Hilo nadhani hajalisamehe. Hiyo inampelekea kutokuwa na imani na Bawacha. Na wao wakampa za uso kwa kumpongeza Mbowe na kumpa ngao Aida. Mnatakiwa mumshauri kuwa kushindana na Bawacha hakuna tija. Aachane na Aida na awaonyeshe wenzake kuwa anawathamini.

Amandla...
Mkuu, you have a very good point here. Ni muhimu sana kwa Lissu kuonyesha uongozi wa kisiasa. Sio kuwa serious sana na kila kitu wakati wote. Vingine ni vya kupitwa tu. Labda kama CHADEMA wangekuwa na mgogoro mkubwa na Aidan kama ilivyo kwa Covid 19.

The lady is innocent and obedient to the party (I presume). Amefanya kazi ya ubunge vizuri tu kwa wastani. Hajaonyesha dharau kwa chama wala kwa viongozi wake. Sidhani kama kuna aliyetaka ajitoe bungeni ili kuthibitisha "uzalendo" wake kwa chama. Hali halisi ya nchi tunaijua. Uwepo wake bungeni hauumizi mtu wala chama.

Kama Waingereza wanavyosema, Lissu should cut her some slack abaki na amani yake. No need to highlight her in whatever dark image. Aidan bado ni asset muhimu CHADEMA.
 
Uko sahihi Mkuu. CDM haiwezi ku afford kumpoteza mtu kama Aidan. Labda kama kweli mpango ni kususia uchaguzi.

Amandla...
 
Acha porojo.
Kwamba yeye peke yake ndiye awe bora?

Tumia hata akili zako kidogo basi.
Naona wewe ni mzito kidogo wa kuelewa. Swali hapa ni kama alipewa ushindi kama anavyodai Lissu. Kupewa kuna maanisha alipendelewa na hakushinda uchaguzi. Aidha, kuwa alifanyiwa fadhila na CCM. Na kama alifanyiwa fadhila basi ana deni na aliyemfadhili. Ni character assassination ya hali ya juu maana hamna ushahidi uliotolewa zaidi ya kusema hajachangia na hachangii chochote bungeni.

Mimi ninasema ni kuwa Aidan alishinda uchaguzi wake kama walivyoshinda wenzake wengi. Tofauti yake ni kuwa alitangazwa mshindi ambayo ni haki yake wala sio fadhila. Sababu za yeye kutofanyiwa hujma zinaweza kuwa nyingi ( msimamizi wake wa uchaguzi hakupokea memo ya kumpora ushindi au alipokea akaidharau, CCM hawakutaka mpinzani wake ashinde, yeye na watu wa jimbo lake walipambana ili haki ifanyiken.k.) lakini ukweli unabaki kuwa alishinda. Kusema tofauti na hilo ni kumuonea.

Amandla...
 
Wewe ukiwa na akili zako timamu unaamini kabisa mgombea pekee aliyeshinda ubunge kwa CHADEMA ni Aida?

Hili hata wana CCM wengi hawaamini hivyo!
Nani amesema kuwa Aida peke yake ndio alishinda? Nimesema yeye na wenzake wengi walishinda lakini ni peke yake aliyetangazwa. Hii haina maana kuwa CCM walimpa ubunge bali wali ni wapiga kura wake ndio walimpa huo ubunge kwa kumchagua.

Amandla...
 
Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una maanisha kuwa Aida hakushinda uchaguzi bali CCM walifanya figisu figisu na kumpa kura za ushindi.

Anashindwa kukubali kuwa Aida alishinda kihalali na akatangazwa. Swali analoweza kuuliza ni kwa nini CCM walimtangaza yeye tu? Inawezekana Aida alijipanga vizuri yeye na wapiga kura wake kiasi cha CCM kushindwa kudhulumu.

Inawezekana CCM waliisha mchoka mshindani wake na kuona bora aondoke. Na Inawezekana msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake alikuwa mtenda haki na nafsi yake ilimzuia kufanya dhulma. Badala ya kulirudia rudia, yeye na wenzake wangekaa nae na kumuomba awaeleze alifanikiwa vipi. Huyu dada ni mpiganaji na ni mfano wa kuigwa.

Lissu pia alisema kuwa huo msimamo wake haukueleweka vizuri ndio maana watu wakamrushia madongo. Alisema haukuwa personal bali ukweli unabidi kusemwa. Hapo tena amejaribu kujikosha. Watu walimrushia madongo kwa kikubwa kutokana na yeye kudai kuwa Aida hachangii lolote. Hilo ndio liliwakera watu maana mchango wa Aida wote tuna uona. Na wenzake wanaouona ndio maana wakampa ngao.
Lissu anapaswa kukiri kuwa alikosea na amuombe radhi.

Amandla...
Lissu must enhance his leadership capabilities, prioritize the development of the party, and direct his efforts towards the forthcoming general election. Aidan emerged victorious in securing the Member of Parliament seat in the previous general election, and that matter warrants no further discussion.
 
Naona wewe ni mzito kidogo wa kuelewa. Swali hapa ni kama alipewa ushindi kama anavyodai Lissu. Kupewa kuna maanisha alipendelewa na hakushinda uchaguzi. Aidha, kuwa alifanyiwa fadhila na CCM. Na kama alifanyiwa fadhila basi ana deni na aliyemfadhili. Ni character assassination ya hali ya juu maana hamna ushahidi uliotolewa zaidi ya kusema hajachangia na hachangii chochote bungeni.

Mimi ninasema ni kuwa Aidan alishinda uchaguzi wake kama walivyoshinda wenzake wengi. Tofauti yake ni kuwa alitangazwa mshindi ambayo ni haki yake wala sio fadhila. Sababu za yeye kutofanyiwa hujma zinaweza kuwa nyingi ( msimamizi wake wa uchaguzi hakupokea memo ya kumpora ushindi au alipokea akaidharau, CCM hawakutaka mpinzani wake ashinde, yeye na watu wa jimbo lake walipambana ili haki ifanyiken.k.) lakini ukweli unabaki kuwa alishinda. Kusema tofauti na hilo ni kumuonea.

Amandla...
Wewe ndo huelewi.

Mtu anayeamua hapa nimtangaze na hapa nisitangaze mshindi huko ndo kupewa kwenyewe.

Kama Nape alivyosema anayetangaza ndo anayeamua. Hivyo Tume na Wakurugenzi ndo waliamua Watangaze ushindi wa CHADEMA kwenye jimbo moja tu la uchaguzi. Sasa huko kama sio kupewa ni nini?
 
Walimpaje wakati alishinda? Kupewa ni fadhila kwa kitu ambacho haustahili. Au una maana Aida hakushinda bali CCM waliamua kumpa ubunge? Wakina Halima walipewa kwa sababu chama chao kinasema hakikupeleka majina yao NEC lakini Spika akawapa ubunge. Aida alishinda uchaguzi kihalali na hicho ndicho kilichomfanya atangazwe kuwa mbunge.

Walimpa kwa sababu waliamua kumtangaza yeye na wasiwatangaze wengine walioshinda pia.
 
Kitendo cha BAWACHA kumpa Aidan Kenan tuzo bora ya umoja huo wakati wakijua Aidan alikaidi maagizo na msimamo wa chama wa mwaka wa 2020 wa kutotambua uchaguzi wa 2020 ni cha kumdhalilisha mwenyekiti Lissu.
 
Nani amesema kuwa Aida peke yake ndio alishinda? Nimesema yeye na wenzake wengi walishinda lakini ni peke yake aliyetangazwa. Hii haina maana kuwa CCM walimpa ubunge bali wali ni wapiga kura wake ndio walimpa huo ubunge kwa kumchagua.

Amandla...
Sasa kama walishinda wengi na akatangazwa yeye pekee, si ni kwamba walikuwa na uwezo wa kutomtangaza pia? Sasa hapo si amepata ubunge kwa busara za hao CCM?
 
Back
Top Bottom