GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa TAL anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude kafa naye anayejali kuhusu Mdude hakuna mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
NAni anapigania Taifa?
 
Ata sisi watanzania,tumemuacha acha apambanie maslahi yake
 
Ngoja tuone kama mkiendelea kukomaza shingo nchi hii itatatawalika. Baada ya uchaguzi ndiyo mtajua zaidi picha ya watanzania. Mama Samia usidanganyike, usipounganisha taifa sasa hivi hutoweza kutawala nchi hii, kamwe hutoweza.
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa anayejali kuhusu Mdude hakuna mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Nabii hakubaliki kwao.
 
Kama wewe huoni, basi haina shaka yoyote kuwa wewe ni kipofu...!

Vipofu hawaonagi, hawana macho ya kuona...!

Na bahati mbaya zaidi ni kuwa wewe hata hisia tu za kukuongoza utembee salama huna...

Na hata fimbo ya kukusaidia kutembea kama kipofu huna na hivyo utatumbukia shimoni shauri lako..!
 
Ngoja tuone kama mkiendelea kukomaza shingo nchi hii itatatawalika. Baada ya uchaguzi ndiyo mtajua zaidi picha ya watanzania. Mama Samia usidanganyike, usipounganisha taifa sasa hivi hutoweza kutawala nchi hii, kamwe hutoweza.
Kipi utafanya mpaka nchi isitawalike ?
 
Kama wewe huoni, basi haina shaka yoyote kuwa wewe ni kipofu...!

Vipofu hawaonagi. Bahati mbaya zaidi ni kuwa wewe hata fimbo ya kukusaidia kutembea kama kipofu huna na hivyo utatumbukia shomoni shauri lako..!
Wewe unaona nini ?
 
Back
Top Bottom